Search results

  1. C

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na mfano wa mzungu na mwafrika disco

    Miaka ile damu ikinichemka, nikiruka fance ya nyumbani na kwenda zangu kuruka majoka Kama tulivyokua tukiita enzi hizo, Disco likiwa linatawaliwa na nyimbo za kina BlackBox, Casanova, Patishange, Bob Marley, Kwenye charanga Kuna watu hatari toka Afrika Magharibi huku kibao Kama Aisha kikileta...
  2. C

    TBC boresheni picha kwenye vipindi vyenu vya luninga

    Salaam wana jamvi Jana tarehe 23/03/2020 katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kituo chetu pendwa cha TBC kilirusha taarifa nyingi kama ilivyo kawaida na ikafikia kwenye habari ya Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika matembezi ya jioni ndani ya Ikulu, jijini Dodoma. Isivyo...
  3. C

    Jerry Muro, elimu haitajwi bali huoneshwa kwa vitendo

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatt. Shaloom wanajamvi Heri ya mwezi Mtukufu wa Rajab kwa waislam na Heri ya kuanza kwa masiku 40 ya kwaresma ya tafakari juu ya upendo wa Yesu Kristo. Moja katika mambo ambayo yamenajisi siku ya jana na leo mitandaoni ni kauli ya DC wa Arumeru Jeri Muro...
  4. C

    Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20

    Wasalaam wanajamvi Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20 katika viwanja vya Ushirika Moshi. Nimeguswa kwakua Mimi ni muumini wa waamini (wale wenye imani ya uwepo wa nguvu kubwa inayohitajika kuyaongoza maisha yao). Aidha nimezisikia kauli...
  5. C

    Freeman Mbowe, kwanini maridhiano sasa?

    Wananzengo habari zenu. Takribani saa 24 zilizopita nimekuwa nikijaribu kusoma na kutafakuri kwa kina yaliyotokana na mambo mawili, kwanza CHADEMA kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru la kwanza na lapili hotuba ambayo Mh. Mbowe aliyoiunda na kuhakikisha arafa yake...
  6. C

    Maadui wa CHADEMA hawa hapa

    Salam wanagenzi Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua. CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara...
  7. C

    Rais Magufuli alianzia pale...

    Wasalaam watu wa Mungu Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity. Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na...
  8. C

    Mwendokasi ICU

    Salam Wanajamvi Nafikiri kwa sauti? Hivi hawa watumishi wa idara ya Tiketi katika mabasi ya mwendo kasi wanawadai UDART kiasi gani hata ifikie kipindi kuwaacha watu wapande bure kwa muda wa siku mbili sasa? Hivi hizi akili za waliopewa madaraka kwenye UDART zinaenda kinyume nyume au kimbele...
  9. C

    Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

    Habari wana jamvi Kwa wale waislam hongereni kwa kuendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa wale ambao ni waislam na hamkufanikiwa kufunga kwa sababu za maradhi Mwenyezi Mungu awanurusuni na maradhi hayo ili inshaalah muungane na wenzenu kabla ya ramadhani kwisha au Ramadhani ijayo...
  10. C

    Kuna baadhi ya vitu ni aibu kuomba kupunguziwa bei?

    Habari zenu wana Mbacha? Imekua nikawaida kwenda dukani kununua sukari ukaambiwa kilo Sh 3000/- na ukanunua, Mkate Sh 1200 au 1000 inategemeana na brand na ukanunua bila ubishi, ukaenda kununua chai na chapati husemi ooh nipunguzie sijui ninini? LAKINI ukaingia kwenye duka la nguo ukaambiwa...
  11. C

    Safari za Dar-Moro zinahitaji jicho la ziada

    Wanabodi Wanasheria wanakawaida ya kuyatenga au kuyagawa makosa katika makundi mfano, Makosa ya Jinai, Makosa ya Madai na au Makosa ya Kikatiba. Mimi ninao theory yangu inayo jitegemea ambayo ni Makosa dhidi ya Mtu na mtu, yaani A kampiga kofi B na pia A kamsukuma B akasababisha madhara kwa C...
  12. C

    Rasmi sasa: Binadamu wa kwanza duniani aliishi Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu Ni siku nyingine tena Alhamdulilah ninaendelea kupumua pumzi ya BURE ambayo bila shaka ni wajibu wangu kuitendea haki ili kesho akhera, nipate cha kujitetea mbele ya Muumba wa Mbingu saba. Asubuhi ya leo nikiwa katika safari yangu kuelekea kule ninapopatia mkate wangu...
  13. C

    Hoja ya kubadili nembo ya Taifa

    Wanabodi Natumaini afya zenu ni bukheri hali kadhalika pande hizi, aidha kama kwa namna moja au nyingine afya za mmoja wenu zinayo taabu basi, jua kwamba ni mitihani tu na majaribu ya Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Kutokana na Rais wetu kuonyesha nia ya kubadili mfumo wa mazoea...
  14. C

    Mawaziri waanza kujibu hoja zilizoibuliwa kwenye ripoti ya CAG

    Wakuu habari? Nimepata taarifa leo asubuhi kwamba kuna takribani mawaziri watano ambao wametajwa imma kuguswa na taarifa ya CAG na leo watafanya mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni kwamba Waziri wa Habari utamaduni na Michezo Mh. Dr . Harison mwakyembe ataongoza...
  15. C

    TRA HII IMEKAAJE?

    Chei chei wanajamvi, Ninayo matumaini juu ya ubora wa hali zenu, na pindipo zitakapokua na mgogoro wa namna ya aina yoyote, usijali "watu wa elimu za kiroho hutuambia ndicho kipindi ambacho unakua karibu na Bwana Mungu wako" msiniulize kiaje? Hivi TRA mnawezaje kudhibiti Taxi bubu dhidi ya...
  16. C

    Yaliyojiri Safari yangu kutoka Moro - Dar

    CHEI CHEI WAUNGWANDA Kipande kati ya Msamvu na nanenane mkoani Morogoro ni kipande ambacho mara kadhaa wananchi wa maeneo hayo hufunga mifugo pembezoni mwa barabara (hasa Mbuzi). Nikiwa nimekaa siti ya dirishani huku nikitafakari safari iliyopo mbele yangu ya takribani saa 5, ndipo mboni za...
  17. C

    Mama, je ni cheo, jina, heshima au vyote?

    Habari za leo waungwana? Sala na salam zangu ziwashukie kina mama wote duniani, wenye kujua hasa maana ya nomino yenyewe MAMA na wenye kuitendea haki nomino hiyo kama ambavyo chapisho hili limekusudia kufanya. Mama; je ni cheo, jina, heshima au vyote. kwa muhtasari tu ningependa kuanza...
Back
Top Bottom