Search results

  1. C

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Nakubaliana nawe mkuu ila bila serikali kurekebisha chaneli watateketea zaidi. Hivi unajua kati ya watoto milioni mbili wanaoanza darasa la kwanza ni wangapi wahahitimu vyuo vya kati na vya juu?. Takwimu za haraka si zaidi ya laki Tano. Hivyo kundi kubwa la watu wanaingia mtaani wakiwa desperate...
  2. C

    Poleni Arusha, Watanzania tunawaombea, Serikali iko nanyi

    Kuna nn kaka hebu ijazie nyama stori mkuu
  3. C

    Kumbukumbu ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Rais John Magufuli

    Kile kilikua chuma kilichojenga standard ya Taasisi ya uraisi Tanzania. Hakuwa malaika Bali alikua anayo vision ambayo ilikua haina budi baadhi yamawe na vifusi viondolewe ili tuweze kuona sehemu ya kujenga. Lala kwa amani kamanda, lala kwa amani kipenzi changu
  4. C

    Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

    Jamii Forum sasa hivi imekwisha wale Great Thinkers hawapo tena. Kimsingi huu Uzi wako ni mbovu katika kila kona. Hii ni zaidi ya takataka kiuandishi na kimjadala pia. Ulitakiwa kutoa tafsiri ya hizo key words kwanza ili tuje unataka kueleza kitu gani. Kishapo utoe chanzo kilichodai kwamba vitu...
  5. C

    Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Dr. Khamis namshukuru wakati ukifanya mahojiano yaliyoibua sakata hili kati yako na Twaha niliyasikiliza vyema. Hakuna la kuongezea bali nikutoe hofu tu "KIZA KIKIZIDI KUNAKARIBIA KUKUCHA" However, next time tunaomba tuwe solution oriented rather than Complaining.
  6. C

    Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    LGF nikitaka kukutukana kisomi ningesema "wewe ni fala" kwa sababu mtoto wa jirani yako anatemmbea peku unajisifia kwa wakwako kuvaa ndala?" Kama hii ndio namna ya kufikiri mliyotoka nayo vyuoni hakika ninyi na elimu wote mmedhalilika sana.
  7. C

    Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    Usiitumie haki yako ya kuwa MPUMBAVU vibaya? Hivi unadhani wewe unaweza kuwa na taarifa sahihi juu ya tukio hasa la Gekul zaidi kuliko Rais Samia? Au wewe ni timu safisha upumbavu huku mtandaonii? Au ndio wale mnaotumia Kodi zetu vibaya?
  8. C

    Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Tatizo ni sisi! Ndio hivyo buana! Hayo maadili ulitaka apewe na dada wa kazi eeh? Au mama/baba mwenyenyumba? Wewe na mkeo mliona fahari ya ufahari ni wewe na mamaye kutoka lukwiri kurudi alfajiri! Ukiwa na maburungutu ya noti mfukoni au mikate ya sia na kuku wasio na baba! Dada wa kazi...
  9. C

    Tanzania yakopa Tsh. Bilioni 32 Kutoka Saudi Arabia wakati wezi wakiiba mabilioni

    Kwakuwa sisi wenye maono ambayo tumejitenga na siasa, tukatoa mwanya wa hawa nyang'au kutuongoza, hatutakiwi kuwalaumu Bali tukuingia ulingoni na tuwapige ma uppercut wazimie kisha wakiamka wajikute mbele ya Mahakama ya raia. Hebu fikiria uwanja wa Uhuru kiwanja kinachofata Uwanja wa taifa...
  10. C

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    Danielmwasi So your MAMA is trash 😭🗑️, achana na haya ma collective punishment unaendelea kujidhalilisha zaidi. Tuombe ushauri tukusaidie na sio kujitukana kama ulivyofanya.
  11. C

    Mimba huwa haitungwi kwa bahati mbaya

    Kambi ya fisi, nilikua nimeanza kukuelewa katika paragrafu ya kwanza japo nilikua na maswali machache, niliposoma paragrafu yako ya pili nikatafakari sana nikagundua kiwango chako cha ufahamu kina ukomo kwenye mambo ya Sayansi ya jamii na hivyo basi nimechagua kukuacha uendelee na mtizamo wako...
  12. C

    Mimba huwa haitungwi kwa bahati mbaya

    Hujautanua WiGo wako vyema ukaibarizi mada yako kwa kina ndio maana unasema hakuna mimba ya bahati mbaya? Kwanza bahati mbaya ni kitu gani? Kiswahili rahisi ni kwamba nje ya matarajio/mipango/wakati usio sahihi nk. Haya kutokana na tafsiri ya neno bahati mbaya itadondokea hapa; Alibakwa...
  13. C

    Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

    Nilifunzwa vyema na Mama yangu kipenzi, wakati baba akiwa anatafuta mkate. Tatizo kama nilivyolieleza hapo ni kwamba wazazi wa kike wa sasa wako busy maofisini hivyo kuwanyima watoto fursa ya kupata malezi kama niliyopata mie. Tatizo hilo namna mojawapo ya kulishighulikia ni Kuanzisha mafunzo...
  14. C

    Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

    Nani wa kulea hayo maadili sasa? Wakati waliotakiwa kuyalea hayo maadili wamekimbilia maofisini wote na kuacha watoto wakichungwa badala ya kulelewa. Huyo mchungaji mwenyewe sasa qualification pekee aliyonayo ni kwakua yeye aliwahi kuwa mtoto. Nadhani kunusuru mmomonyoko huu wa maadili...
  15. C

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Kwanini Mungu aliumba watu wajinga wengi na werevu wachache ni kwasababu kila mtu ana dajibu wake katika kulisongesha hili gurudumu.
  16. C

    Askofu Gwajima, mtu sahihi kwa wakati sahihi

    Ndio alikuja kijiweni kwetu akatununua kwa kahawa ya laki moja. Kweli mbuzi yetu majani, barazani kwa mamwinyi
  17. C

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Shukran sana chief nimelisema hili mara nyingi sana sikupata muumini mwenza Hadi niliposoma komenti yako
  18. C

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Chifu mara ya mwisho nimepita kwenye makabrasha yangu Wayahudi/waislael hawautambui ukristo achilia mbali huyo yesu. Mwislam ndio anayeambana na Myahudi huyu Mkristo hayupo pichani. Mkristo na Muislam ni stori ya siku nyingine.
Back
Top Bottom