Search results

  1. MUUZA NGADA

    ZANZIBAR NA UWINGI WA VIVUTIO LAKINI HAMNA HUDUMA YA UBER wala TAXIFY

    Yes, Wala Usibishe Nilikuwa Natka Kesho Niende Zanzibar Na Sehemu Nitakayofikia Ni Mbali Kidogo Maeneo Ya Kiwengwa Beach ila Sasa Akili Ikanijia Niangalie Gharama za Usafiri Zpoje Maana Wengine Wageni Kule Na Swala La Kujiandaa Muhimu Ila Daaaah Kucheki Ubee ili nijue Gharama za Usafili...
  2. MUUZA NGADA

    PICHA: Nini Kinaendelea Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi?.

    Wakuu Nimepita Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi Hapa Dar Es Salaa Na Kuona Kuna Ujenzi Unaendelea Ila Hakuna "Bango" La kuonesha Mradi Gani Unaoendelea Karibuni Wenye Kufahamu
  3. MUUZA NGADA

    Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

    Tanzania yaingia nchi 51 zenye amani zaidi duniani ikiwazidi USA, China, UK Argentina n.k. Kwa Afrika tupo katika 10 bora huku tukiongoza eneo la EAC Shukrani kwa uongozi unaoenzi amani wa Rais Magufuli na wote tuliotimiza wajibu wetu Source: Global Peace Index Sent using Jamii Forums...
  4. MUUZA NGADA

    Redgold hivi ndivyo mnavyotuua walaji wa bidhaa zenu

    Red gold Ni Jina la Kibiashara la Hawa Wahindi wa Arusha ambao hutengeneza Tomatoe Sauce Nimeona Bidhaa Yao Ikiwa Sokoni Lakini Haina Tarehe Ya Kumlinda Mteja iwapo Mwisho wa Kuitumia Bidhaa Yao Ni Lini {Namaanisha Expiration date} Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MUUZA NGADA

    Main contractor new Salender bridge ni nani?

    Nimeona Kwenye Mtandao Wa Lemutuz Kuwa Ujenzi Umeanza ila Kwa Mujibu wa Picha zile sijaona Hasa main Contractor Ni Nani? Mwenye kumjua Aniambia aisee Source: Lemutuz
  6. MUUZA NGADA

    Kocha wa Taifa stars ndiyo janga

    Kocha Ndyo kikwazo!! Amepanga Kikosi Mavi Tena Mavi!! Sitaki Hata Kumsikia Yule Kocha Na Kuanzia Leo Sifuatilii Mechi Za Stars Mpaka Akibadilishwa!! Haiingi Akilini Bado Dk 10 mpira Uishe Ndyo Unamuingiza Boko!! Una akili timamu kweli kocha? Kama Hyo Haitoshi, Tangu Lini Erasto Nyoni...
  7. MUUZA NGADA

    Hivi vidonge ndani ya chupa za chai nini kipo nyuma yake? TFDA, TBS zatoa ufafanuzi

    Wakuu Hasa Wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla Nataka Kupata Ufafanuzi Hapa Kidogo!! Chupa zetu Za Kuhifadhi Joto La Vinywaji Au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani Imegundulika Kuna Vidonge!! Naam Ni VIDONGE!! Kuna Video Hii Inasambaa Mtandaoni Kuhusu Hili...
  8. MUUZA NGADA

    Tanzania yashika nafasi ya pili Afrika kwa ukuaji wa uchumi

    Leo March 16, 2018 Jarida maarufu la Business Chief limeitaja Tanzania kama taifa la pili lenye uchumi unaokuwa kwa kasi zaidi barani Africa. Tanzania uchumi wake unakua kwa asilimia 7 imeshika nafasi ya pili nyuma ya Ivory Cost ambayo uchumi wake unakuwa kwa asilimia 8.5. Orodha hiyo...
  9. MUUZA NGADA

    Only in Kenya

    No need to Talk, A beautiful picture Explain everything [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. MUUZA NGADA

    ONLY IN TANZANIA

    <br /><br /><br />ONLY IN TANZANIA NI TANZANIA PEKEE MTANDAO WA SIMU UNAIPA PROMO KAMPUNI YA KAMALI
  11. MUUZA NGADA

    TCRA mko wapi mpaka hiki kinatokea ?

    Tangu Biashara ya Ubashiri na Bahati nasibu kwa njia ya mtandao ianze, sasa hivi imekua kero Hapa nchini hasa kwa watu ambao, hawapo "Interested " na Huduma Hizo!! Labda utakuwa bado hujaelewa namaanisha nn?? Au nataka kuujuza nini umma na Kupitia Kichwa cha Habari TCRA Inahusikaje ...
  12. MUUZA NGADA

    Tuition kwa pre form 5

    Oooops
  13. MUUZA NGADA

    Ufafanuzi dhidi ya tamko la RC Makonda ya kuhamisha magari Kigamboni

    Wanajamvi, Mwaka 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitoa tamko la kusisitiza wafanyabiashara wote wa magari hapa Jijini Dar Kuhamishia shughuli zao rasmi eneo la Kigamboni, Manispaa ya Kigamboni. Kitu ambacho ningependa kufahamu ni kwamba, zoezi hili litawahusu wote ama zile...
Back
Top Bottom