Search results

  1. C

    Software engineer anatafutwa

    Sema unataka permanent Employee? Temporary Employee au Freelancer? Anyways sema project uliyonayo huenda ukasaidiwa. Cyo Software Developer s wrote wanakuja JF
  2. C

    Lg led tv 32

    Mi nataka 40+' pia taja Model
  3. C

    Macbook pro forsale 1,100,000 check me 0717 022737

    Imetumika mda gani? na vipi ina cratch?
  4. C

    Street ICT

    Unamaanisha nini unaposema Program?
  5. C

    Toyota Brevis zina nini cha ziada?

    Chukua TOYOTA ALLION
  6. C

    Tengeneza security ya ofisi yako nyumba yako kwa bei nafuu

    Unaweza kuconfigure Smatrix na Babylon? Vipi kuhusu aceess control unaweza kuconfigure K32? kama unaweza yote haya niambie nikupe kazi. lwa kalolo
  7. C

    Acer aspire s7 wanted

    Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa Tangazo la Kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire S7. Kama unayo Please PM me tufanye Biashara
  8. C

    Acer Aspire s7 wanted

    Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa tangazo la kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire S7. Kama unayo Please PM me tufanye biashara.
  9. C

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Kamata 1M.BNL_ELECTRONICS
  10. C

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Mi nataka Sony W600B Series LED HDTV Model: KDL-40W600B AU 42W600B
  11. C

    MacBook Pro with Retina Display 15' needed

    Hello, kwa yeyote alienaproduct tajwa hapo juu au mwenye Connection ya hii kitu naoma ani-PM. Hata kama upo mbele naoma tucheckiane, naitafuta hii mambo. Regards, Chief
  12. C

    Karibu Nyumbani Furniture kwa mahitaji yako ya furnitre aina zote na garden ideas

    Kwenye Picha za Kwanza hicho kitanda sh.ngapi? Vipi hamtengenezi Sofa? kama mnatengeneza tupia picha goodwork
  13. C

    Natafuta laptop aina ya acer aspire s3 ultra book

    Kama unayo acer aspire s7 ultrabook. Laki 6 ipo hapa. Ila iwe 14'+
  14. C

    Nina Laki 8 cash, Natafuta HP Pavilon Original RAM 4, Processor core i 3 or 5 HDD 500+

    How about hp probook i7 inaweza kupatikana?. Boxed
  15. C

    Software engineer anatafutwa

    Tangazo nimeliona even though lipo local sana, anyways ninakazi za watu ambazo inawezakuwa ngumu kuattend hiyo kazi. Pia nadhani interest siyo Software Engineer(Mwenye BSc.SE) lakini mwenye uwezo wa kufanya hiyo kazi. Mimi nina encourage mtu yeyote anaeweza kufanaya hiyo kazi awatafute hao...
  16. C

    Software engineer anatafutwa

    Graduate wa kwanza UDOM-BSc.Software Engineering ni 2013 na walikuwa 23. Mimi Chief Lugina nikiwa mmoja wao.
Back
Top Bottom