Search results

  1. Secret Star

    Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa Kingereza.

    ASANTENI AMESHAPATIKANA Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki Mbili na mshahara utaongezeka kutokana na ufanisi wake kazini.
  2. Secret Star

    Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kupata?

    Mimi leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari yangu aina ya BMW mara Ghafla ikakwama kwenye Tope. Ikabidi nishuke kuisukua Loh! Ile kuamka nakuta nimesukuma kitanda hadi sebuleni. Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kuota.
  3. Secret Star

    Natafuta Internet (ISP) yenye kasi ya 20MBps KIMARA.

    Habari natafuta Internet service providers wazuri wenye speed kuanzia 20MBps na kuendelea wanaopatikana kimara. Asanteni
  4. Secret Star

    Ni yupi Mwanapinduzi wa Teknolojia kati ya TESLA na EINSTEIN.

    Wakuu hii Ishu ya nani ni bora zaidi kati Tesla na Eistein katika Ulimwengu wa Technology, Imekuwa ni tata Sasa, kila Mtu ana mawazo yake kuhuwa wababe hawa wawili. Naomba Wataalam mtumalizie mgogoro huu, nani ni genious Kumzidi mwenzie.
  5. Secret Star

    Nawezaje Kupata Mafuta Original ya Olive

    Habari, Nimekutana na jamaa angu ananiambia kwa asilimia 70 ya mafuta ya olive oil tunayonunua ni fake, Tafadhari naomba kupata mwongozo ni wapi ambapo nitapata Olive oil pure.
  6. Secret Star

    Nina milioni 1 nataka laptop kubwa

    Habari waungwana nina milioni 1 cash nataka laptop yenye uwezo mkubwa kwa kazi za Graphic Design. Sifa ya kwanza iwe na SSD. Kwa mwenye nayo anishushie spec hapa chini, nitakayoikubali naichukua
  7. Secret Star

    Mjue Mungu "Amen" wa Misri. Ambae leo tunamsujudia Bila Kujua

    Habari. Kwa wasiojua, Leo napenda niwape Elimu juu ya Mungu kutoka Misri ya kale aliyeitwa "Amen". Misri ya kale ambayo Vitabu hivi vya sasa huita ni taifa lililolaaniwa kuna mambo mengi sana yaliyojificha ambapo hakuna Dini inayotaka Ufahamu. AMEN Pia unaweza kumtamka kama Amun, Amon, Ammon...
  8. Secret Star

    Isuzu Freelander ni gari nzuri au magumashi

    Habari wakuu, Nina mpango nitafute motokaa na mimi nitembee na uchawi wa mzungu. Ndoto niliyonayo ni kununua Mistubish Freelander naombeni ushauri wazee kama ni gari nzuri au ni kipengele.
  9. Secret Star

    Kuna tofauti gani kuchoma sindano mkononi na kalioni

    Habari, mara kadhaa unaweza kumuona tabibu akimchoma sindano mgonjwa kalioni, Mara nyingine Humchoma Mkononi, Kuna tofauti gani ya sindano hizo
  10. Secret Star

    Nimepokea barua ya Invitation (Norway) napataje VISA?

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu kutoka Norway amenitumia barua ya mwaliko ya kwenda huko kutembea. So kwa wataalamu naombeni kujua ni njia gani ninafuata ili niweze kupata VISA. Asanteni.
  11. Secret Star

    Natafuta Nyumba zinazouzwa na Bank mil 15

    Nina kiasi Cha mil 15 natafuta Nyumba, zinazopigwa minada na Bank so naomba location za Minada mbalimbali ili nikajaribu bahati ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
  12. Secret Star

    Computer i7 inapigwa bado na i5!

    Nina Pc Lenovo i7, yenye Graphics Card ya 4 GB na Acer i5 yenye GB 2 za graphics Card ila nimebaki nashangaa nikaona ngoja niwacheck wataaamu wanisaidie. Kifupi Preject ambayo nairender kwa masaa mawili huku kwenye i7, kwenye hii i5 Natumia dk 5! nimebaki nashangaa na kujuliza tatizo liko wapi...
  13. Secret Star

    Gharama za MRI zikoje

    Nina tatizo la maumivu upande wa kulia wa tumbo, nahitaji kwenda hospitali nikafanyiwe kipimo cha MRI. Kwa wajuzi Gharama zake zikoje?, na naweza kuipata huduma hiyo hospitali ipi bila usumbufu? NB nipo Dar es salam
  14. Secret Star

    Kiongozi wa genge la majambazi awatishia Polisi Nairobi kwa clip ya video

    Kanda ya video ya kiongozi wa genge moja la majambazi kwa jina Gaza akijigamba kuhusu uhalifu aliotekeleza imesambaa katika mitandao ya kijamii na kuwawacha wengi vinywa wazi Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya kiongozi huyu wa genge ambaye polisi wanamtambua kwa jina Seba alias...
  15. Secret Star

    Kama watu wanaweza kutengeneza hivi basi Askofu anaonewa

    Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.
  16. Secret Star

    Siri iliyojificha muda ambao mtu anakaribia kufa na kuona mizimu, wachawi au inginevyo.

    Kwa kawaida Binadamu ana Mambo Mengi sana ndani yake, kiasi kwamba hadi sasa tunavyovijua ni vichache mno kuliko tusivyovijua. Leo Nitawaleteeni Funzo fulani kuhusu saa za mwisho mtu anakaribia kufa. Kwa Mara nyingi Watu wengi wanapokaribia kufa huwa na hali tofauti na ya nyuma, kama vile...
  17. Secret Star

    Ni nyimbo gani bora kuliko zote kati ya ulizowahi kusikia

    Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka sumu zake hapa. Mimi naanza na Unaweza kuupload list yako au kushare link itakayotupeleka moja kwa...
  18. Secret Star

    Ni wimbo gani mzuri kuliko zote ulizowahi kusikia?

    Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka list yake hapa. Mimi naanza na Unaweza kuupload list yako au kushare lick itakayotupeleka moja kwa...
  19. Secret Star

    Safari ya kwenda Misri kufanya utalii inacost Kiasi gani

    Habari, kama kichwa cha habari kisemavyo nina mpango wa kwenda Misri Kutazama Pyramid na kufanya utalii kwa Takriban wiki moja, Naomba kujua wastani wa gharama za huko wa wale ambao washapata Fursa ya kwenda. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Secret Star

    Nimepoteza bima ya afya na ninaumwa sana

    Habari ndugu, Kifupi nina tatizo hivyo naomba msaada wa ushauri, nimepoteza bima ya afya na nina tatizo hivyo inatakiwa nifanyiwe operation haraka iwezekanavyo! Hivyo naomba ushauri wa kujua njia ninazoweza kuzifuata ili niweze kurew tena bima upesi ili niweze kupata huduma. Nitashukuru kwa...
Back
Top Bottom