Search results

  1. Kheri Hansen

    Kwa mnaojua English, ukiweza kunitafsiria hii Sentensi kwa Kiswahili nakulipia Kodi ya nyumba!

    Wakuu, Mimi ni mdau wa lugha ya Kiingereza. Paragraph hii ya chini nimeandika mwenyewe kwa misamiati ambayo sio ya kubuni, ipo kwenye Dictionary kabisa na wala sio misamiati ya kifamasia, ni English kama ilivyo. Wengi hudhani wanajua English wakati kila siku anawasiliana kwa kurudia maneno yale...
  2. Kheri Hansen

    Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

    Wakuu mmeamkaje, Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run". Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda...
  3. Kheri Hansen

    Naomba mwongozo jinsi ya kuipata simu yangu iliyopotea. Nina IMEI zake na kila kitu

    Wakuu, Nimepotelewa na Simu juzi. Kwa mujibu wa watu kadhaa, inasemekana kwasasa Simu inaweza kupatikana hata kama watatoa Line. kuiflash, etc. Naomba mwongozo na mtiririko mzima wa jinsi ya kuipata: Mfano kama ninaanzia Polisi, nachukua RB au Loss Report? Au nawasilishaje ombi la Simu yangu...
  4. Kheri Hansen

    Serikali ya awamu hii inasumbua watu, kurenew line hadi niende Polisi?

    Jana nimepoteza simu. Likini mlolongo wa kurudishiwa laini lazima uanzie kwa Wakala mkuu, ukijaza fomu anakuagiza uende Kituo cha polisi, ukifika wanakwambia uende Central police, kisha unarudi wakugongee muhuri, kisha urudi tena kwa Wakala ili urudishe namba yako!!! TABU YOTE HII YA NINI...
  5. Kheri Hansen

    Bado nipo Arusha, bata limeninogea

    Wakuu hamjambo? Nilitegemea kurudi #DarCityBaby ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city, kwakweli huu mji ni Paradise ndogo. Hujakaa sawa toto la kichaga hili hapa, ukiangalia kulia kuna...
  6. Kheri Hansen

    Eva aliongea mengi na Shetani, sisi tukaambulia tu kulishwa tunda

    WARNING: This thread is highly Critical: 1. Eva aliongea na Shetani ana kwa ana, akatuletea tu Tunda...tukaonekana tumemsaliti Mungu wetu, Je, ni nani Msaliti halisi? 2. Ni wapi nitapata maongezi ya Eva na Shetani ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia? Ikumbukwe maongezi yao tulioyonayo sasahivi...
  7. Kheri Hansen

    Zoom Tanzania na Brighter Monday zinatengeneza matangazo feki ya Ajira.

    Nisipoteze muda kuandika sana au kuunda logic, swallow it or spit it. Mitandao ya ajira hapa Tanzania, hasa Zoom Tanzania na Brighter Monday inalaghai watu/watafuta ajira kwa post za ajira mpya kila siku. Kumbe wanavitengo/watu maalumu wa kugenerate au kutengeneza post feki za nafasi za kazi...
  8. Kheri Hansen

    Nimefika Arusha salama, jamani huku watu wanakula Maisha!

    Wakuu mmeamkaje? Nimefika Arusha salama, japo kuna baridi kiasi, ila hali ya hewa ni nzuri kwakweli. Mji umetulia, hamna fujo kama za Dar (mahoni kila sehemu, jam, mara ujenzi wa SGR, etc). Kwakweli nilikuwa nina muda sijatembelea hili jiji la mabilionea, ila ni tamu sana hili jiji na watu wana...
  9. Kheri Hansen

    Kesho naelekea Arusha kikazi, narudi DarCityBaby baada ya wiki 2 tuendelee kubanana hapahapa

    Wakuu, Kuna kishughuli naenda kufanya kesho Arusha, nitakaa huko wiki 2 kwenye Hoteli ya mteja (kula bure, kulala bure, swimming pool bure, na mshahara wa wiki 2 juuuu). Taarifa rasmi anazo shemeji yenu msmimi30 ....atajumuika na mimi wiki ya mwisho then turudi wote. Kama upo Arusha (men only)...
  10. Kheri Hansen

    Nifahamisheni dawa ya Tumbo, nimetuliza kwa Konyagi wiki nzima, ila Konyagi ikiisha tu linaanza upya.

    Wakuu, Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa maana ishasalimu amri kwa Bapa ndogo ya Konyagi, huu mwaka wa pili sijui hata ilienda wapi wakati Mbu...
  11. Kheri Hansen

    Usirudi mkoani kabisa, komaa hapahapa Dar

    Mie nashangaa hata hizi mbwembwe za Serikali kuhamia Dodoma, binafsi naona ni kiini macho, yaani tuzubae na kinachoendelea Dodoma wabaki #DarCityBaby wakipiga. Kwahiyo wewe kijana mwenzangu, mtu akikwambia rudi mkoani/kijijini labda kwasababu kweli hali yako ni ngumu kwasasa, nakusihi usirudi...
  12. Kheri Hansen

    Wanaume ndio wengi duniani na sio wanawake kama tulivyoaminishwa miaka yote

    Utakuta mwanaume anasotea demu, hadi aje ampate ni mwezi. Au wengine wanakosa papuchi kabisa hata miezi 3-6, labda akanunue. Lakini mwanamke utakuta ana wanaume wengi hadi 10; mme, michepuko, aliosoma nao, kazini, etc na wote ana wapanga, na wote anawahudumia kwa zamu. Tuongee ukweli. Tafsri...
  13. Kheri Hansen

    Ifahamu kampuni ya Cambridge Analytica ambayo imeiingiza Facebook matatizoni

    Wadau, Kwa ufupi: Kuna kampuni inaitwa Cambridge Analytica ambayo mkurugenzi wake Brittany Kaiser katimuliwa kazi miezi michache nyuma. Ndio kampuni yenye teknolojia ya juu ya kukusanya Data na kumanipulate vifaa vya kieletroniiki kama vile Masanduku ya kura, Simu, satelites, Mitandao ya...
  14. Kheri Hansen

    Naitwa edwini mhogo kutoka shule ya msingi SHilawadu darasa la 5 B. Clouds Mungu anawaona

    Kila nikitune redio nakutana na " wezeshaaaa...muwezesheeee...tuma pediiii, au helaaa kwenda namba 555 na uchafu". Shaabash Eeeeniweei ila Clouds Media mmezidi. Imagine mtu mzima kama mimi unaniambia nitoke kwa mtogole nipeleke pedi Mlimani City:) Eeeniwei, ila mbona kila mbona mnaemshikia...
  15. Kheri Hansen

    Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

    Hodi humu, Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige. Mimi nataka kuoa, sifa zote...
  16. Kheri Hansen

    Baada ya kuwajibu kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, sasa natanganza kuwa natafuta Mke mtu mzima

    Habari zenu, Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa ni malumbano ya hoja, nikitetea uamuzi wangu na kuzifutilia mbali tafsri potofu za kijamii dhidi ya...
  17. Kheri Hansen

    Napenda wanawake watu wazima

    Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje. Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured...
  18. Kheri Hansen

    Magufuli shughulikia Vodacom, ni Weziiii....plz nakuomba washughulikie..

    Ungekuwa babu yangu ungefanya. Hakuna babu yangu...mimi...hakufanya nilichotaka. Do you know the secret?.... I FOLLOWED PROTOCOL. I mean najua alijua lazima nimzingue kila tukionana (honestly it' was fun). Magufuli. if you are in JF plz respond to me. I have something I want to complain. I...
  19. Kheri Hansen

    Hivi ile brand ya FILA iliishia wapi?

    Brand ya FILA siioni kabisa wakati enzi hizo naanza shule; begi, kiatu, soksi hadi chupi vilikuwa vimeandikwa FILA.
Back
Top Bottom