Search results

  1. N

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji3][emoji3][emoji3] kuna kijiji hapo umekitaja nakielewa sana. Nadhani unajua maana ya neno LUGUMYA kwa kikerewe au kijita
  2. N

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nadhani itakuwa yenyewe. Huyu jamaa atakuwa wa kule
  3. N

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Mkuu sehemu kama Same unaweza kupandikiza kitunguu mwezi wa tatu. Nikiwa namaana kuwa nitasia mbegu mwezi wa kwanza au wa pili.
  4. N

    Msaada wa mbegu ya kitunguu neptune F1

    Sawa Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
  5. N

    Msaada wa mbegu ya kitunguu neptune F1

    Hizi mbegu zinauzwa Balton. Kama huko Mbeya kuna branch yao basi nenda utapata. Usipopata njoo Balton Dar es salaam.
  6. N

    Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    6P Y U Tyuttqu
  7. N

    Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    8yupuyyiipiiii !. .- ; ^ 67 0((~.))@.1 ~ ~7 .^ iliyiipuup Yub689.
  8. N

    Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    0 Z.pt607 778
  9. N

    Hivi Airtel ni wababaishaji kiasi hiki?

    Kama uliko Zantel iko safi basi achana na Airtel
  10. N

    Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Hebu nipe namba za hao jamaa mkuu
  11. N

    Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

    Nchi hii kwenye bihashara bado sana. Acha wahindi waendelee kutuibia tu.
  12. N

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Aisee!! mimi house girl anafua nguo za mtoto tu. Nguo zangu zinafuliwa na mke wangu. Sitaki kuona hg anafua nguo zangu. Hata za mke wangu hatakiwi kufua.
  13. N

    Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    Maswali kama haya kwa mtama pia hasa mweupe.
  14. N

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Mkuu Allan, hebu niunganishe na wanaouza mizinga ya nyuki wadogo. Nahitaji mmoja...
  15. N

    Kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone

    Hebu weka namba zao za simu hapa.
  16. N

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Comedy kivipi mkuu.
  17. N

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Aisee sawa mkuu. Picha ya kwanza inaonekana kuchoka na ya pili hali yake nzuri SANLAG.... OK
  18. N

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Mbona plate number tofauti au macho yangu?
  19. N

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Mbona pikipiki mbili tofauti au unazo mbili?
Back
Top Bottom