Search results

  1. Shetemba

    Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

    Umenikumbusha zamani Tanga kulikuwa na basi likiitwa SHAKILA lilikuwa na umbo la mkate wa boflo
  2. Shetemba

    Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

    Hayaa da,, makonda wangetuletea Dar basi Tena,Jiji limekuwa chafu linanuka ,huyu mnyalu wangemuamishia Mbeya
  3. Shetemba

    Nimelia sana nilipofika bwawa la Mwalimu Nyerere, kwaheri mgawo wa umeme

    Magufuli alisema atashusha bei ya umeme watu waache kupikia kuni
  4. Shetemba

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Wachina ndio wanatumalizia dollar na taka taka zao fake
  5. Shetemba

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Maili Moja trafic,kiluvya traffic,kwa Komba traffic,Luguruni traffic,Temboni traffic,bucha traffic,, UBUNGO maji traffic kudadadeki
  6. Shetemba

    Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Aliwahi kusema ukitaka kuona mbususu ya kuku ngoja upepo uvume,Lembeli huyo
  7. Shetemba

    Kuna mahala Nyerere alikosea

    Mimi Huwa naamini hivyo Zanzibar ni mkoa wa wavuvi ,,wakina Mwinyi kwao ni bara.FULL STOP.
Back
Top Bottom