Mwambieni Askofu Bagonza kwamba ..Tofauti ya mazishi ya kiserikali na Kitaifa ni Hadhi/ Itifaki- ambapo Jeshi la wananchi linahusika, Mizinga 21 hupigwa Kwa Rais aliyeko madarakani au Mstaafu, Makamu wa Rais aliyeko mdarakani au mstaafu ni mizinga 19, Waziri Mkuu ni mizinga 17.. tofauti ipo...
Watu kama hawa wanaishia kuwa na depression chafu! kuna nyakati wanahisi kila mtu aawachukia wao..kumbe wao ndio wana mitazamo negative! Kuna kitu kinaitwa PMA ( Positive Mental Attitude) we bwana mtoa mada..anza kukifanyia kazi! otherwise yatakukuta tena siku si nyingi!
Dar wako sana mitaa ya mnazi mmoja maeneo ya kitumbini pale...kwa tafiti tulizofanya wengi wao si kwamba ni ombaomba per se! wengi wao wana miliki nyumba zaidi ya moja maeneo tofauti ya mji! Wengi wanadai kuomba ni mazoea yao!..
In fact ndio mnyama anaye ongoza kwa kujeruhi/ mauaji hifadhini! tunawaita wazee wa ngwasuma! yani wewe umuone usimuone ila akikuona yeye basi imekula kwako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.