Search results

  1. kholo

    Huyu ni mdudu Tandu? ana madhara gani?

    Tandu huyu, alishawahi kuning'ata chululuu huyu mjinga.
  2. kholo

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Ahsante kwa mchango wako ndugu yangu
  3. kholo

    Biashara ya salon za kiume na kike

    ahsante mkuu. na minimum hesabu huwa inarange ngapi mkuu kwa siku?
  4. kholo

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Habari zenu wanajamvi, Nafikiria kufungua saloon ya kunyoa local(uswahilini) naombeni ushauri ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao na hasabu huwa inarange kiasi gani sokoni maana ntatafuta kinyozi. Natanguliza shukrani
  5. kholo

    Iraq itasimama tena

    Ndugu Mshana barikiwa mno, nimeuelewa sana huu uzi. Nikirudi kwenye Bible naona ulichokisema kikitokea, nikimkumbuka myahudi namwona mwarabu akifuata nyayo hizo hizo maana wote waliahidiwa baraka. NB, myahudi ndiye anayeongoza kwa technolojia saivi na ndiyo mtu mwenye akili kuliko binadamu yeyote.
  6. kholo

    Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

    Poa mkuu, mapeema after dinner ntakuinbox[emoji111]
  7. kholo

    Kuna mwanaume mwenye rafiki wa kike? Binafsi mimi sina na sitokaa kuwa nae

    Aaah, mi ilishanishindaga siku nyingi nikahisi labda mi ninashida maana kila akija kama rafiki najikuta tuu nmekula. Siwezi mie.
  8. kholo

    Mwenye picha ya Manji akiwa amevaa Jezi ya Yanga naiomba

    Yanga shuka wanayo sema hawaingiagi na shuka uwanjani
  9. kholo

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Labda alivaa singlendi ya blue pia teh teh teh Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kholo

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Jamaa wamemtuma kusafisha ila amekosea kuanza hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kholo

    Tujuzane: Dalili za mpenzi wako kuwa na mtu mwingine

    Nilishawahi itumia hii mjinga akaicheza dah Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kholo

    Msaada wa kupata cheti cha kidato cha nne

    Poa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kholo

    Msaada wa kupata cheti cha kidato cha nne

    Dah, Poa mshikaji wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kholo

    Msaada wa kupata cheti cha kidato cha nne

    Sijasomea tz Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kholo

    Msaada wa kupata cheti cha kidato cha nne

    Habari zenu wanna jf. Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kholo

    Online purchasing

    Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa walio na uzoefu wa kufanya manunuzi online kama Alibaba, Ebey na Amazon. Hasa Alibaba maana kuna kitu nataka kuagiza ila sijajua mchakato wake unakuwaje. Thanks in advance
  17. kholo

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Ushahidi upi? Atoe ushahidi wa video? Duh, kaazi kweli
  18. kholo

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Kwahiyo we ulitaka yaishie huko huko tuu kwa amani, yaani ile issue waipotezee tu kishkaji? Aisee mkuu hauko serious hata kidogo, walau umejiuliza mwanafunzi you hali gani? Vipi kama angekuwa mwanao? Kama watu wengine wamejiskia vibaya kwa tukio lile ispokuwa wewe, unafikiri mzazi wa mwanafunzi...
Back
Top Bottom