Search results

  1. Akili Sina

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
  2. Akili Sina

    TANESCO mnachokifanya huku Chanika ni uhujumu uchumi

    Wakati hapa chanika kitongoji cha kidugalo tukililia umeme sababu nguzo hazijafika, nyie mmekuja kumwaga minguzo hapa karibu na Masai wawili tena kwenye maji zinaozea tu hapa miaka inaenda. Kama vipi njooni mzichukue mpelekee wengine wenye shida maana sisi mmetususa, zikiozea hapa itakuwa ni...
  3. Akili Sina

    Friji la kisasa linauzwa

    Fridge Brand : LG Bado jipya kabisa Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically) Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida Lina warranty ya miaka 10. Bei ni 800,000/- tu , (Dukan ni 1.2M, risiti zipo) Lipo Dar , mwenye kuhitaji aje PM Sent using Jamii...
  4. Akili Sina

    FRIDGE LA KISASA LINAUZWA

    Fridge Brand : LG Bado jipya kabisa Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically) Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida Lina warranty ya miaka 10. Bei ni 800,000/- tu , (Dukan ni 1.2M, risiti zipo) Lipo Dar , mwenye kuhitaji aje PM Sent using...
  5. Akili Sina

    Msaada: Nimeandika barua ya kuacha kazi naambiwa natakiwa nimlipe mwajiri

    Habarini wakuu, Nimeandika barua ya kuacha kazi, naambiwa sheria inasema natakiwa nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja kwavile sikumpa notice. Nikajitetea kuwa mkataba wangu ulishaisha toka 2018 na sijasaini mwingine, naambiwa sheria inasema kama mkataba wa kwanza umeisha na hamjaingia...
  6. Akili Sina

    Kumbe ilikuwa ni kupoteza upepo wa kompyuta za DPP

    Duuh kweli kuna watu wanajua kutengeneza movie.....Ila hii ya saivi kidogo mmeipatia tofauti na zile nyingine......saiv wala husikii tena wakihoji habari za kompyuta kuibiwa.....Watu wanatunga movie alafu wanajifanya wanatoa eti tetesi.....
  7. Akili Sina

    Mnada wa IST za YONO unafanyika wapi??

    Habarini wakuu, kuna tangazo nililiskia la YONO kwamba kutakuwa na mnada wa IST kesho tarehe 7 September, naomba kujua mnada unafanyikia wapi.
  8. Akili Sina

    Jinsi ya kupost video kwenye jamii forum

    Jamani naombeni mnijuze jinsi ya kupost video huku...... Nimejaribu nimeshindwa.
Back
Top Bottom