Hiyo wasafi TV inaonyeshwa kwenye king'amuzi kipi? Maana chanel za bongo naangalia ITV tena kipindi kimoja tu Isidingo, baada ya hapo tutakutana kwenye tamthilia zetu
Huyo jamaa yako angemla huyo msishana, labda mwanadada angekuwa na adabu kidogo. Ila kama walivyosema wadau, hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanamume.
Sasa wakati wa tendo aliwezaje kupambana na simu. je ushirikiano alikuwa anaonyesha kweli, Maana as far as I know ukiwa katikati ya ile mambo, siwezi kama waweza fanya shughuli nyingine. Pole sana mkuu, ila possibly alikuwa miaka ile ya kitoto kitoto, mature girl hawezi fanya huo ujinge.
N y I...
Itakuwa huko alikoenda ameipata fresh ya shamba, mpaka akakumbuka alikotoka. Wangu alirudi kwa magoti, sijui nini kilimkuta huko. Ila ni sehemu moja wapo ya kujifunza, thamani ya kitu/mtu inaonekana pale ambapo haipo
Habari za jioni waungwana,
Hili ni swali tu ambalo najiuliza na mpaka sasa sijapata jibu. Je kuna njia yoyote/ chakula/kinywaji chochote ambacho chaweza tumika kuongeza ashki ya kufanya mapenzi kwa wanawake?
Wahindi its very rare kuoa mwanadada mweusi, huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe, hata wale ambao unakuta wako tz wanafanya kazi, kule kwao wamekuwa wameacha mke na watoyo. Nashangaa imekuwaje mpaka huyo akakupa mimba, maana yani hata ufanye nae mapenzi kwa style gani, hawezi kufanya mapenzi...
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.
Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.
Japo na admit, jasho langu halina harufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.