Search results

  1. E

    TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

    Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ. Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. ==== Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika...
  2. E

    SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  3. E

    Natafuta idara ya maji dar es salaam kwa ajili ya mafunzo ya field

    Habari za saa hizi wakuu. Wakuu naomba mnitajie idara za maji zinazopatikana hapa dar es salaam na addresses zake nataka nipeleke barua kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (field)
  4. E

    Engineer Hanscana La Cavella ndani ya mjengo mnipokee.

    Hatimaye nimeingia ndani ya mjengo mnipe ushirikiano wadau ili nishirikiane nanyi kile kidogo ninachokijua. Ahsanteni na usiku mwema.
Back
Top Bottom