Search results

  1. E

    TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

    Usije tu mjadala kusema shule ni ya Edward Lowasa. Muhimu ni taarifa ya kifo chake.
  2. E

    TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

    Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ. Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. ==== Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika...
  3. E

    SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Serikali iwekeze sana kwenye teknolojia ,maendeleo ya kweli yatakuja kwa kuwekeza kwenye teknolojia.
  4. E

    SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  5. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Hakuna anayesoma kwa msaada pale, Mayo mbahili. Kila anayesoma pale analipa ada kamili. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Wewe unafakamia kitu usichokijua, Alpha, Loyola, Tusiime zote huchukua wanafunzi wakawaida sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Njoo inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    njoo inbox kwa maelezo zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Mayo ana share tu pale ,tena sio kubwa kihivyo, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Vitalis Marle Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    nani kakudanganya alpha huchukua wanafunzi wenye uwezo mkubwa sana? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Mawazo ya kimasikini sishangai. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Nimekufata PM mbona kimya? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Hujanitajia bado shule hata moja ya serikali ambayo wanafunzi wanafaulu kwa juhudi za walimu wao na shule. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    kama hujui kitu bora ufunge mdomo . Sent using Jamii Forums mobile app
  16. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Kama nani wa Alpha ulishawahi kusoma naye? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Nitajie shule hata moja ya serikali inayofaulisha yenyewe kama yenyewe bila nguvu ya wanafunzi kukesha kwenye vibanda umiza kusoma tuitions Sent using Jamii Forums mobile app
  18. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Hivyo ni vituo vya kufanyia mitihani, watoto wanahangaika tuitions huku mitaani hapo kwenye vituo wanakuja tu kukamilisha utaratibu lakini hizo sio shule ni takataka. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. E

    Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

    Government hakuna shule bali ni vituo tu vya kufanyia mitihani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom