Search results

  1. bashite kaya

    Naomba kujua namna ya kuandaa Curriculum Vitae

    Habari za leo wanajamvi, Naombeni mfano wa kuandika CV na kuambatanisha vyeti niweze kuomba kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bashite kaya

    Serikali imetoa tangazo la Ajira kada za afya

    Serikali imetoa tangazo la Ajira KADA ZA afya swali langu kwa wadau daraja la pili manake nini sijaelewa naomba anayejua ufafanuzi jamani . ======= Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa inapenda kuwatangazia wahitimu wa kada za afya nchini kuwasilisha...
  3. bashite kaya

    Drow ya caf

    Hellow wanamichezo mwenye ratiba CAF anijuze kundi la wekundu wa msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom