Search results

  1. Y

    Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Kaka hii nchi inawehu wengi walio jitoa fahamu kaziyao nikusifia serikali kilakitu ata kama nipabovu yaani hii nchi bila kutoka ccm hakuna kitu kipya kitatokea.
  2. Y

    Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Hizi ni baazi ya Akili pumba tanzania.mtu kama wewe huwezi ata kueleweshwa niwa kuachwa kama ulivyo.
  3. Y

    Mwenendo wa wabunge wa upinzani kukubali jitihada za Serikali utalipeleka Taifa mbele tusiwabeze!

    Nimekutukana kimoyo moyo we mtumwa namkae mkijua mnachakujibu siku ya Kiama.
  4. Y

    Mkutano mkubwa wa injili kutokea uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

    Asante sana mungu akutie neema.
  5. Y

    Rais Magufuli usipobadilisha msimamo wako kuhusu mikopo ya wanafunzi, uchaguzi 2020 hutoboi

    La Kwanza kushindwa ccm mpaka watanzania wote muamke mkiwa mmewekewa walau ka form 4 kchwani. Pili raisi hapangiwi wala hashauliwi naukibisha kalishauli jiwe kama litakusikia. Tatu na mwisho bunge lifutwe linakula not zetu za bure.
  6. Y

    Tuwe wakweli, ziara ya Rais Magufuli mikoa ya Iringa na Morogoro ilijaa kauli za kibaguzi na utengano wa kitaifa

    acheni atukomeshe tuu maana sisi mitanzania nimi zero kabisa kabisa
  7. Y

    Ujumbe kwa watanzania wanaotarajia kupiga kura mwaka 2020 panapo majaliwa

    Kwa tz hii katika watu mia waelewa ni wawili tuu.
  8. Y

    Naombeni kujua kuhusu hivi viwanda 3,306

    Kiwanda cha wasiyo julikana kina zimisha loho za Wasema kweli hiki ndiyo nakitambua nahapa wamefanikiwa sana serikali.
  9. Y

    Mambo ni moto: Hotuba ya Upinzani (Mambo ya Ndani) kusambazwa mitandaoni

    Siyo tuu kwenye mitandao hawajui kitu kabisa.
  10. Y

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Duuu!!! Mungu tusaidie waja wako angalia wapi tumekosea pia tupe ujasili wakusema hapana kwa pamoja. Pia tuondolee wote wanao jitia upofu ile hali wanajua kilakitu ila matumbo yao yana njaa. Kwakusema hayo machache amennn.
  11. Y

    Tuweke jumbe za Mabango ya Mei Mosi 2018 hapa

    Noah zetu ziko wapi?
  12. Y

    Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

    Pohamba wengine hatuna uvyama ila tuna taka haki itendeke siyo kushabikia ata ujinga ndiyo maana mnawashutumu watu weupe kila kukicha eti wachochezi. Hebu tuwe wastalabu mtu ishu ziko wazi mfano 1.5t hazionekani nanikweli ripoti inaonyesha afu mkuu anajibu kiulaini tuu afu alie hoji anaitwa...
  13. Y

    Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

    Mtabakia hvyo hvyo vilaza nyie mkiambiwa ukweli mnasema uchochezi sjui mabinadamu mengine mkoje?bola mngekuwa mazombi tuu mkajulikana
  14. Y

    Tafadhali rais Magufuli, tazama mchezo huu, huyu mtoto ana ujumbe wako toka kwa Mungu

    Ivi wewe huwa ni mzima kweli kichwani au tatzo nini? ya nini kama unajijua ubongo wako hau operate vizuri kuchangia vitu vya maana? Daaa!!! Heli ambao hawaelewi kabisa muenendo wahii nchi na wana ikubali ccm kuliko wewe unae jua ila loho yako ime jawa naunafiki. Yaani una jibu pointless kama...
  15. Y

    Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

    Kwahiyo una unga mkono kwa kilicho fanywa na polisi.?
Back
Top Bottom