Search results

  1. luziiii

    wanaume wa Dar washamba sana

    sina chuki br niukweli
  2. luziiii

    wanaume wa Dar washamba sana

    wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani. Wale waonaoishi mbali kwenda mjini wanapata tabu nauli kwao nitabu harafu wanatuponda wamikoani. hawapendezi wanavaa masahati...
  3. luziiii

    Mungu atasikia ombi lako leo

    Mungu yupo anajuamatatizo unayopitia kilasiku nimatatizo kichwa kinawaza hakinamwisho. Umefunga hadi unakatataamaa usiku huu unawaza hujui kesho ninikikombele yako Mwamini Mungu kesho anafungua milango mipya Usikate tamaa omba usiku waleo Kesho utapata jibu Shikilia imani yako omba...
  4. luziiii

    Watu wa iringa mbona wengi wafupi?

    Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni mbegu.mbona pesa mnajua kutafuta,mnaogopa nini kuoa hatajirani zenu kule tukuyu mbona hawanasifa yakumkataa mtu
  5. luziiii

    Uchawi wa ileje na iringa upiunanguvu

    Natafuta mtu anaefahamu uchawi, Upi mzuri wa iringa au ileje, upiwanauza beinafuu
  6. luziiii

    Natafuta gari please...!

    Nina BREVIS ina namba ya zambia BAE Kamaunataka ipo hapa hapa dar
  7. luziiii

    Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

    Enyi wanaume, kwanini wenye sura mbaya mko wengi?
  8. luziiii

    Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

    ulikua dawa bora kwa maralia,tulikua tunajikuna hadi ngozi inachubuka
  9. luziiii

    Vituko mikoani

    Tukuyu
  10. luziiii

    Vituko mikoani

    Anglia wasije wakakupeleka mahakamani [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  11. luziiii

    Vituko mikoani

    adam na hawa
  12. luziiii

    Vituko mikoani

    zinaitwa daruga
  13. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    ubhalamushe pi handa na pachapwa nakwisansa
  14. luziiii

    Usiku unamambo mengi

    tatizo la usingizi nimaisha kuwa magumu
  15. luziiii

    Usiku unamambo mengi

    Usiku nigiza ikifika 19:00hrs 22:00hrs nimda wazinzi wanafanya yao.23:00hrs 01:00hrs mda wamakahaba 01:45hrs 04:30.mda wawachawi wanafanya yao hapo ndiopaguni. wachawi wanafanya mambo mengi Wanatembelea kilamutu kama huna maombi lazima wakukabe kama wewe nimkiristo kazanakuomba,bibilia...
  16. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    hazole majina yawatu mbozi hayo. Mpozile weya[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  17. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    kuandika lugha gani?
  18. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    Wewe umesoma harafu unashidwa kusoma mwandiko wadarasa la2? Kweli watu wambeya, mnakazi
  19. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  20. luziiii

    Vituko vya watu mkoani mbeya

    mbeya kunakabila gani?
Back
Top Bottom