square inawezekana ila kwa ujazo wa 50,000L tunashauli litumike cylindrical tank hii ni kulingana na sababu mbali mbali za kisayansi ila pia kupunguza gharama ya material
zitatumika plate 33 kila moja ni 250,000=8,250,000
pia kuna gharama za electrode, disc na vifaa vingine lets say 500,000
Material cost total ni 8,750,000
Technical cost ni 80% ya total cost of material kwa upande wa tank kulingana na ujazo wa litre 50,000
hayo ni makadirio ya chini
kwa tank lenye Diameter ya 10M na Length 4M gharama yake itategemeana na design ilivyo kwa kuwa gharama ya kufabricate tank inatofautia kulingana na material yaliyo tumika pia kulingana na thicknes ya plate iliyo tumika
pia gharama ya ufundi itategemea na ukubwa wa thicknes ya plate used
Karibu
Mara nyingi kazi za steel structure mhandisi huwa anauziwa kwa square meter au kwa Ton
so itategemean na aina ya jengo
mfano: mnaweza kukubaliana 1square meter thamani yake iwe ni 20,0000
ama 1ton iuzwe kwa 2M
na mahesabu hayo ni nnje ya designer wa mchoro wa jengo husika
Nipigie 0692235221...
Unaweza kututafuta kwa kupitia hizo namba then tukakutumia simple zetu kwa upande wa design na construction pia hii ni kwa wale wote wanao hitaji huduma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.