Search results

  1. Chukwu emeka

    Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

    Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK. Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
  2. Chukwu emeka

    Wakatoliki, imekuaje kipindi cha Kwaresma mmefungisha ndoa ya Mrema?

    Habari wana Jukwaa, Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata...
  3. Chukwu emeka

    Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  4. Chukwu emeka

    TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  5. Chukwu emeka

    Huu ujumbe unawahusu WanaJF wote, tuwakumbuke wazazi wetu

    Pamoja na kutokuwa Muslim ila huwa nasikiliza mara kwa mara mafundisho ya Mashehe, huwa wanakuwa na maneno yakutoa ujumbe mzuri sana kwa jamii, hasa vijana wa kileo. Tunajisahau na kusahau tulikotoka hasa tukiwa na vijisenti vya kubadilisha mboga. Nawewe msikilize huyu Mheshimiwa.
  6. Chukwu emeka

    Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya. Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
  7. Chukwu emeka

    Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

    Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
  8. Chukwu emeka

    Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda. Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
  9. Chukwu emeka

    Pesa za Mashabiki Simba vs Yanga zilizolipwa machi ya leo,Serikali izichukue

    Kufuatia sintofahamu ya mechi ya Simba kuahirishwa na Bodi ya Ligi, nashauri hela zote zilizokusanywa zichukuliwe na Serikali na ziwekwe kwenye budget ya huduma za kijamii. Kuwaachia hela hizo TFF na matapeli wenzao ni wizi wa waziwazi kabisa. Karia juzi tu ulisisitiza kanuni hazifuatwi, ndiyo...
  10. Chukwu emeka

    Mainjinia wa Maji wa Mikoa watakuwa wameenda field usiku huu kuhakikisha sehemu zote hatuna shida ya Maji

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kuna watu usiku huu hawatalala ni Mainjinia wa Maji na wilaya katika mikoa mbalimbali nchini, kauli ya Rais, Mama Samia kuwahusu itawakosesha amani kabisa hasa kama kwenye maeneo yao ya kazi kuna miradi inasuasua. Joto lao wengi...
  11. Chukwu emeka

    Tanzania hatuhitaji bandika bandua, tunahitaji kuimarisha Taasisi. Hata Mama yetu akitoka madarakani tutakuwa na stori hizi hizi tu

    Wakati nyimbo za maombolezo zikiendelea kupigwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mashada ya maua hata hayajanyauka katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tz, JPM. Kuna mengi yameanza kuibuliwa ambayo ni mapungufu katika Uongozi wake. Hasara ya Shirika la Ndege, Ubadhilifu mkubwa katika...
  12. Chukwu emeka

    Tutammiss Donald Trump kwa mambo mazuri yake ikiwamo kupinga ushoga

    Pamoja na mapungufu yake Trump, ila huu upuuzi na laana haukuwa na nafasi kwenye Serikali yake.
  13. Chukwu emeka

    Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
  14. Chukwu emeka

    Mzee anayedai Medie Kagere ni mtoto wake ajitokeza Dar es Salaam, aomba kukutanishwa naye

    Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na mwanae". Ameenda mbali zaidi na kudai yupo tayari kwenda kupima naye DNA na atakuwa tayari kwa...
  15. Chukwu emeka

    Msaada: Naweza kupata wapi vifaa vya mazoezi kwa mtu aliyekuwa amepalarise kwa DSM

    Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital. Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
  16. Chukwu emeka

    Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

    TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO. - Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita. -Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa...
  17. Chukwu emeka

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

    Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana
  18. Chukwu emeka

    Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

    A black woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together A woman who is happily married to two men and live in the same house with them has shared photos of them together while speaking about their relationship. Kenya Stevens is in a polyamorous relationship and is...
  19. Chukwu emeka

    Ningekuwa na mamlaka ningefuta safari zote za Dar na mikoani,ikiwemo mabasi,Treni ili kuepusha kusambaa kwa COVID-19

    Habari WanaJF, Niende moja kwa moja kwenye mada,Jiji la Dar es salaam kwa Tanzania ndiyo limeathirika zaidi na ugonjwa wa Corona na kwa mujibu wa waziri wa afya Ummy Mwalimu ugonjwa tayari upo mtaani,inamaana upo Ubungo,Kinondoni,Mwenge,Tegeta Kariakoo,Posta,Temeke,Mbezi,Mbagala,Gongo la mboto...
Back
Top Bottom