Search results

  1. J

    Baba kanumba amvaa mama kanumba baada ya kuvuruga utaratibu wa mirathi...

    Baba mzazi wa Kanumba anaeishi Shinyanga ambae alishindwa kuja msibani kutokana na kuumwa, amezungumza na kusema kwamba sasa yuko tayari kuja Dar es salaam kushughulikia swala la Mirathi baada ya kudai kwamba mama mzazi wa Kanumba ambae yuko Dar ameanza kuharibu kuhusu ishu ya...
  2. J

    Afrika na utawala bora usiothamini haki na utu

    Ni zaidi ya nusu karne tokea mwaka 1960 uitwe mwaka wa Afrika. Katika kipindi hiki Afrika imeshuhudia ustawi wa kujivunia lakini pia imelia na kusaga meno kwa udhalimu na maangazi makubwa dhidi ya watu wake. Afrika imeongozwa na viongozi wema na waadilifu kama Mwalimu Nyerere, Kwame...
  3. J

    Nakala ya hukumu ya Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini

    IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT ARUSHA MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 13 OF 2010 (IN THE MATTER OF AN ELECTION PETITION UNDER THE NATIONAL ELECTION ACT CAP 348 R.E. 2010 AND THE PETITION RULES, 2010) MUSA HAMISI MKANGA . . . . . . . . . . . . . . . .1ST PETITIONER AGNES GIDION MOLLEL ...
  4. J

    Kaburi la Kanumba lapusuka na kutitia....

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa, Ijumaa Wikienda limelishuhudia. Mwishoni mwa wiki iliyopita, waandishi waetu walifika...
  5. J

    CAG amkalia kooni Msekwa

    RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeisonda kidole Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa kwa kuingilia utendaji wa Bodi ya Hifadhi hivyo kuipunguzia uhuru menejimenti ya hifadhi hiyo...
  6. J

    Update mpya: Audio ya bbc swahili walipohojiana na godbless lema

    UPDATE MPYA :Audio ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya Dunia walipohojiana na Godbless Lema na kupata maoni ya Wananchi wa Arusha UPDATEMPYA :Maoni ya Godbless Lema na Wananchi wa Arusha Mjini baada ya kusikia habari za kuenguliwa Mbunge wao. Imerekodiwa kutoka CloudsFM radio, saa moja...
  7. J

    Video ya tukio zima la kufukuzwa kwa godbless lema

    Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema <<VIDEO HIZI HAPA>>
  8. J

    Sponsorship ya masomo kwa mwaka 2012/2013 katika chuo kikuu cha muis - australia....wahi mapema

    JINA LA SCHOLARSHIP: Macquarie University International Scholarship UTANGULIZI: Macquarie University International Scholarship (MUIS) ni scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa shahada ya kwanza(undergraduate) na shahada ya pili kwa mwaka wa masomo wa 2012/2013 NI MASOMO GANI...
  9. J

    Nini cha kufanya endapo kirusi amekula mafile yote na kuyageuza shortcuts

    My USB thumb drive got infected by a trojan virus. All folders in the thumb drive had become shortcuts! From the properties, the shortcut folder is pointing to 0x29ACAAD1.exe file. Kaspersky detects it as Trojan.Win32.VBKrypt.cvcu, and 35 out of 42 antivirus companies confirmed that it is a...
  10. J

    Nini cha kufanya endapo kirusi ameficha kazi yako iliyokuwa kwenye flash??

    Girlfriend wangu alijikuta mnyonge baada ya kukuta mafile yake yote ya Final year project yaliyokuwa kwenye flash hayapo.Alimshika shati rafiki yake akidhani pengine aliyafuta...... Baada ya kucheck kwa makini,niligundua kuwa yale mafile yapo ila yamefichwa na kirusi.Basi nikamwambie,bibie...
  11. J

    JINSI YA KUONGEZA SPEED YA MODEM ZA TTCL MPAKA 7.2Mbps

    NILIPOKUWA "NA SURF" NILIFANIKIWA KUKUTANA NA HUYU MHINDI WA MODEM By default, Huawei E220 can only support up to 3.6Mbps speed. In Malaysia, 3.6Mbps is the top speed that 3.5G broadband users can get. But the truth is, it is just a fantasy. No one will get that speed. By default...
  12. J

    Jinsi ya kuflash modem za ttcl (mobile partiner)

    KATIKA PITA PITA YANGU NILIKUTANA NA HUYU MHINDI Huawei modems comes with mobile partner default dashboard but it comes with outdated version here i am going to provide you latest version of mobile partner dashboard which version is 21.003.27.00.03. you can find cool features included in...
  13. J

    Vitendo 19 vya kifisadi vya blandina nyoni....

    Hivi ni baadhi ya vitendo vya kifisadi vya Mama huyu ambaye kwa wengine wanamuona kama mchapa kazi hodari asiyekuwa na doa na anaezuia mianya ya wizi:- 1. Amekuwa akilipwa mshahara wa ziada na Mradi wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP) wakati tayari serikali inamlipa mshahara wa ngazi...
  14. J

    Ripoti ya polisi kuhusu maandamano ya wanaharakati yaliyofanyika jana tarehe 8/2/2012

    “hatukuwa na taarifa na mkusanyiko huo, ni watu walitoka sehemu mbalimbali mmoja mmoja wakazunguka maeneo ya Palm Beach na kuingia barabarani na kuzuia magari yaliyosababisha foleni ndani ya dakika 45 kwa hiyo sio kwamba ni maandamano” CHANZO CHA RIPOTI << HAPA>>
  15. J

    Hii ndo mistari ya bongo fleva iliyoandikwa na mwanafunzi wakati akifanya mitihani ya kidato cha 4

    Katibu mtendaji mkuu wa baraza hilo Dr Joyce Ndalichako amesema mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani huo alifikia hatua ya kuandika mashairi ya bongo fleva baada ya kukosa cha kujibu ambapo aliandika :“nashukuru sana wote wanaosahihisha huu mtihani wangu, nitakapofeli nitaendelea...
  16. J

    Hackers wamevamia mtandao wa facebook. Soma habari hii kwa makini ili ujikinge nao

    Je ni kweli Lady Gaga amekutwa akiwa amefariki ndani ya hotel? Hiki ni kirusi (VIRUS) ambacho kimesambaa sana katika mtandao wa facebook na bado kinazidi kuenea kwa kasi.Kirusi hiki kinasambazwa na HACKERS ambao huweka PORNOGRAPHIC PICTURES katika wall yako ya facebook,HUCHAT NA...
  17. J

    Natafuta rafiki ambaye yupo serious na ambaye ni mpole na asiyekuwa mkali

    Jina Langu: Tina Jinsia yangu: mwanamke Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36 Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37 Jinsia ya rafiki: awe mwanaume Nchi ninayoishi: Nipo Europe Nch anayoishi: awe anaishi pia nje ya Tanzania Umbo langu...
  18. J

    Jinsi ya kuflash modem za huawei e220 bure

    BAADA YA KUELEZEA JINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153 NA VODAFONE ZTE K3570 NILIPOKEA MAONI MENGI KUPITIA KWA WADAU WA JAMI I FORUM NA WALE WA MPEKUZI NA PIA KUPITIA EMAIL YANGU WAKIOMBA NIELEZEE JINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E220. LEO NILIKUWA NAANDAA HATUA ZA KUFUATA ILI...
  19. J

    Maelezo yaliyothibitishwa jinsi ya kutumia internet bure.. Kama mimi muongo nipeni adhabu yoyote

    asanteni sana..badala ya kuelimisha,nimekumbana na vijembe vingi hivyo nimeamua niifute hii thread!!!!!!!
  20. J

    Drivers za modem ya zte k3570 .download bureee!

    Kama ulikuwa na modem ya Vodafone ZTE k3570 na kwa bahat mbaya sana driver za hiyo modem zikaharbika (zime corrupt) basi tiba yake leo imepatikana. BOFYA HAPO CHINI ILI UI DOWNLOAD <<ZTE DRIVERS>>
Back
Top Bottom