Search results

  1. Amjadey

    Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Music Lyrics

    See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video "Hamadai" - Song Lyrics eyyoooo oh beby mwezi hauishi takuvisha pete niaamiiini vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe niaamiiini takutunza takupamba umeremete niaamiini me kwako sina ujanja ah mpechempeche niaamiini CHORUS...
  2. Amjadey

    Marioo X Jovial - Mi Amor - Lyrics & Music Video

    Song Lyric: at Angalia Video na Lyrics hapa Muziki and Lyrics Mi amor Te amo Ohh baby mon amor Hakuna mwingine wa kumsikia Kwenye masikio yangu Hakuna mwingine wakumuona Kwenye macho yangu Nibebe nibebe Honey nishushe mahabani Aaah Nigege nigege Mie kwako taabani Heeeeeee mi amor Mmmmh Nikwite...
  3. Amjadey

    Jay Melody - Sugar - Lyrics

    Girl let me show you How much I love you With my lips on your own Let my hips do the talking Let me show you How much I care for you You can relax let me work it I'll go down on you and take you away I never thought I'd share a bed with a woman so fine Usinipe kitandani leo nipe kwa sofa Pour...
  4. Amjadey

    Natafuta mchumba ili ikuwezekana aje awe mke wa ndo

    Upande wangu Mwanaume Umri 30 Dini muislamu Nimeajiriwa Mwenza: Awe na umri kati ya 23 hadi 30 Awe muislam Awepo Dar es salaam Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
  5. Amjadey

    Natafuta mchumba Muislamu

    Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Mimi ni mwanaume Umri ni 29 Muislamu Nimesha ajiriwa Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi. Awe na umri usiozid 21 hadi 25. Awe ametulia kiakili na kifikra sio lazima awe ameolewa, napendelea awe mama wa...
  6. Amjadey

    Nahitaji kununua used Boxer or TVS

    Habari wakuu Yeyote ambae anauza Pikipiki aina ya Boxer au TVS iliyotumika sio zaid ya mwaka mmoja. Engine CC150 itapendeza ikikosekanwa ata cc125. Isiwe imewahi kufanyiwa matengenezo kwenye engine (engine haijaguswa) Ninahitaji tafadhali DM. Nikutafute Nipo DSM Sent using Jamii Forums mobile...
  7. Amjadey

    Nahitaji kununua pikipiki used aina ya Boxer au TVS

    Habari wakuu Yoyote ambae anauza Pikipiki aina ya Boxer au TVS iliyotumika sio zaidi ya mwaka mmoja. Engine CC150 itapendeza ikikosekanwa ata cc125. Isiwe imewahi kufanyiwa matengenezo kwenye engine (engine haijaguswa) Ninahitaji tafadhali DM. Nikutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Amjadey

    Nauliza kuhusu kulipishwa ada ya field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

    Hivi ni kweli kwamba kuna baadhi ya vyuo vya umma vinawalipisha ada ya field laki moja kutoka kwa wanafunzi kwenda chuoni. Na kuwatishia wasipotoa watawazuia kuwapa ruhusa kwenda field ai kutokuwafanyia ukaguzi kabla ya kumaliza mda wa field. Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je...
  9. Amjadey

    Naitaji msichana au mwana mama wa kuchat nae mapenzi usiku saa za kulala

    Salaaam Naitaji msichana au mke wa mtu au gf wa mtu yeyote anaeitaj kuchat sex chat usiku mda wa kulala au kuchombezana kiutani, kumpandisha ham. Umri awe kuanzia 25 to 40 Niko vzr katika haya just inbox tu
  10. Amjadey

    Wakina dada ambao elimu ya mkoloni imepita chocho, kuweni makini na maneno ya marafiki zenu. Sio wote wanaowatakieni mazuri kwenye ndoa zenu

    Ipo hivi Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri Familia nyumban na kazini kwa mzee baba. Kiukweli familia ilikuwa ipo vizur na ela yaukweli tu Yule dada...
  11. Amjadey

    Ule mpango wa mji wa kisasa Kigamboni umefikia wapi?

    Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
  12. Amjadey

    Kwanini filamu nyingi zina title ya Dark, darkness

    je kuna relationship gani kati ya majina ya movies hizi " dark" na ulimwengu ulivyo, je kipi kilichokusudiwa? Najua jf imejaa peoples with great minds na amini some one will explain kwa nini jina hili.
Back
Top Bottom