Search results

  1. M

    Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

    Kama wewe IQ yako ni ya kichwani, je hizo picha ni za Cctv kweli ? Mtu anaepanga utekaji wa mtu kama Mo anaweza kuja na gari bila kubadilisha Registration number? Wewe utakuwa unatumia IQ za Makalio.
  2. M

    Ningekuwa Rais wa nchi nisingeruhusu Tundu Lissu akanyage ardhi ya nchi tena

    Wewe ni mpuuzi na Mshamba na ni lijitu lenye Roho mbaya na itakuwa lazma ni mwanamke ambayo hata kutongozwa na mchimba kaburi hakuhitaji.
  3. M

    RC Paul Makonda amewasha moto karibu na bomba la gas linalovuja

    Kwa kifupi Makonda anajua anachokifanya, hata kuyakataa hayo Makontena mara ya kwanza itakuwa ni maelekezo kutoka kwa Baba, na baba kwakuwa alikuwa anataka kuonyesha kuwa habagui, ndio sababu hakutaka kuwanyamazisha wahusika TRA, hivyo wahusika wakahisi na wao watapata baraka kwa kuibua madudu...
  4. M

  5. M

    Hussein Bashe: Masalia ya Lowassa ndani ya CCM yanayopinga Sera za Rais Magufuli

    Maaelezo mareefu halafu yanaishia na upuuzi wa hali ya juu kabisa.
  6. M

    Barua inayodaiwa kuandikwa na TRA kwenda kwa Waziri wa Fedha kuvuja mitandaoni ni jambo linalohitaji tafakuri

    Hiyo hapo naona simu yako imeshindwa kufungua link uliowekewa.
  7. M

    Kesi ya Bilionea Msuya: Mshtakiwa adai siku ya mauaji alikuwa fungate

    Naona hujaelewa alicho kiandika J Mushi, ni hivi, kama maelezo ya awali yaliyosainiwa na watuhumiwa yalimtaja na kumuhusisha huyo Chusa, kisha Dpp akamuondoa kwenye kesi kwakuwa maelezo yalikuwa ni yauongo yaliyo muhusisha Chusa ndani ya statment na kwakuwa Chusa alikuwa Magereza wakati wa...
  8. M

  9. M

    Kwa sisi tusio wanyonge je Rais wetu ni yupi? Hivi umaskini ni sifa?

    Wacha upungafu wewe, mbona huyo Rais wa wawanyonge yeye sio Maskini na sio mnyonge ? Rais wawanyonge anatamani wanyonge waongezeke ili aweze kuendelea kutawala, hiyo ndio maana yake, Rais wa wawanyonge hapendi kuona mtu anajikwamua kwenye unyonge kwakuwa anaogopa atakosa wa kumtawala, unyonge ni...
  10. M

    Uchumi unapaa kuliko nchi zote Afrika, Safaricom ya Kenya wana faida ya Tril 1.2; TZ jumlisha mabenki na simu hatufikii

    Nje ya uwezo wetu ? au ni kwakuwa tuna watu vilaza au wenye upeo mdogo kama wako? Hivi kweli kijana alioelimika kidogo tu, atashindwa kuelewa wapi tunakosea na ni nani wa kumlaumu? Kwa elimu ndogo tu ya form 4 kwa aalioanzia Primary school ya kueleweka leo hii ukimuuliza wapi tunakosea...
  11. M

    Uchumi unapaa kuliko nchi zote Afrika, Safaricom ya Kenya wana faida ya Tril 1.2; TZ jumlisha mabenki na simu hatufikii

    Kama Utakuwa hujaona cha ajabu, basi kweli wewe utakuwa mbumbu wa mwisho, kwanza nikuulize, je unatambua kuwa Tanzania tuna rasilimali nyingi kuliko Kenya? Je unajua ni miaka mingapi sasa tangu tumepata Uhuru? Halafu unasema eti kila nchi inatambua kuwa Kenya uchumi wake upo juu, we haushangai...
  12. M

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Ukweli utabaki kuwa ukweli, Eti ndege kubwa ilitua Dar kwa dharura, ikawa ni habari mpaka kwenye magazeti, uko sindio kuwahadaa wanyoge, eti Serikali imenunua Bombardier kwa cash, sijui inamsaidiaje huyu mnyonge kama sio kumnyonga, leo hata mshahara kashindwa kupandisha mwaka wa tatu huu...
  13. M

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Duh, kweli Siasa haimtaji mtu jina, Rais wa wanyonge ni yule anaeweza kuongopa yakuwa ameokota kitu kumbe hakiokoteki? Ni yule mwenye kukashifu Bukoba? Oh,Sorry Maafa? Yes, Nimekuelewa vyema mkuu, naona kama tuliombee hili Taifa kwani Janga tunalo wenyewe kwa sasa.
  14. M

    Laiti ningelikuwa Rais Magufuli kuhusu hizi Tshs. 1.5T ningefanya yafuatayo...:

    Wewe bado dactari anakuipima tezi Dume ? Unavyo ropoka ni wazi kipimo bado kimo ndani.
  15. M

    Nani mkweli kati ya Zitto Kabwe vs Serikali sakata la trilioni 1.5?

    KADA08 Hakuna Mtanzania wa kumdanganya hapa, kwanza nime view post zako za nyuma nimegundua wewe ni Kada wa CCM, hivyo andiko lako lipo kisiasa na si kiuhalisia, nyie watu ni mambumbu sana, huu upuuzi ndio aliokuja nao slow slow.
  16. M

    Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

    Atakuwa amekushangaa unashindwa vipi kuelewa simple knowledge kama hiyo? Kama upo Tz haya ni mambo ya kawaida kabisa kwa Serikali hii ya huyu Jiwe.
  17. M

    Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

    Wewe na Mzazi wako lazima hapo mlipo mnapimwa Tezi Dume na Kipimo kipo ndani mpaka sasa, huwezi kuwa unaongea upuuzi kiasi hicho.
  18. M

    Tafadhali CAG usijiuzulu

    Your ass must be pretty jealous of all the shit that comes out of your mouth
  19. M

    Askofu Dr Benson Bagonza: Hatuna duka linalouza hekima ukiwa mwizi ujifunze na kukimbia

    Sometimes it’s better to keep your mouth shut and give the impression that you’re stupid than open it and remove all doubt.
Back
Top Bottom