Search results

  1. 911sep11

    Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  2. 911sep11

    Hivi kuna mtu mwingine anacharaza GUITAR kama huyu mwana mama?

    Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa Sasa nisikuchoshe video ina dakika 2 na sekunde 42. Nina uhakika ukifika sekunde ya 58 utakuwa umeshakubali...
  3. 911sep11

    Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  4. 911sep11

    Kwanini watu wameachana na aina hii ya ujenzi inayovutia?

    Ukitizama aina ya nyumna zinazojengwa miaka hii ni tofaiti kabisa na hizo zinazo onekana hapa chini kwenye picha. Kwa maoni yangu naona ujenzi wa hizi nyumba unavutia na nyumba zinadumu tu sana na zinaleta mandhaari fulani hivi vutivu. Ila kwa miaka ya karibuni mambo yamekuwa tofauti. Ni...
  5. 911sep11

    Vituko vya google translate

    kazi kweli kweli
  6. 911sep11

    Kwanini hakuna dereva wa kike wanaoendesha magari ya viongozi wa umma?

    yaani kwa mfano ukute Labda Lisa jensen anamuendesha Mkuu mpya wa wilaya ya kisarawe Au wema anamuendesha mbunnge msukuma hivi. Hii kazi ipo kwa ajili ya wanaume tu? au wenzangu mmesha wahi ona dereva wa kike wa magari hasa haya ya viongozi?
  7. 911sep11

    kwanini ufe masikini?

    KWANINI UFE MASIKINI? BEI YA FIGO NI MILIONI 500-900 UZA FIGO MOJA KWA MILIONI 700 CHUKUA MILIONI 500 KABETI MECHI 2 ZA ODDS 2.4 MFANO MPE BAYERN WIN NA BARCA WIN UTAPATA KAMA BILION 2.1 CHUKUA MILIONI 700 KANUNUE FIGO URUDISHIE UTABAKIWA NA BILIONI 1.4 JUMLISHA NA ZILE MILIONI200 ZILIZOBAKI...
  8. 911sep11

    Mzee chogo na familia yake.

    katika pitia pitia ya magazeti na majarida mbali mbali miaka hiyo nadhani umewahi kutana na cartoon ya watoto wa mzee chogo walichorwa na vichwa vyenye visogo virefu. sasa kupitia picha hizi utakutana na watu ambao wana vichwa visivyo vya kawaida ambavyo sijui sasa kama wanavibumba pindi...
  9. 911sep11

    Kongamano la uchawi nchini. Mshana jr kuwa katibu muhtasi

    na hapa akijiweka sawa ili asije changanya mafaili wakati wa kongamano. ...
  10. 911sep11

    wanaume wa mwanza na Selfie

    na hawako nyuma.
  11. 911sep11

    KIKOMBE CHA GHADHABU walicho kinywea Juventus robo finale ndicho watakinywea Rael madrid tarehe 26

    Wataalamu wa michezo saluti kwenu. Kama mtakumbuka hatua ya robo fainali mambo yalikua hivi Swala lililo sababisha Zidane na timu yake wasonge katika hatua inayo fuata. Akili yangu inaniambia kesho mambo yatageuka na kuwa ndivyo sivyo na kinyume na matarajio ya eengi ambapo kikombe cha...
  12. 911sep11

    mpaka sasa sijaona 'muvi' (action movie) ya maana kwa mwaka 2018

    Ndugu, kama mjuavyo mwaka 2015 , 16 kulikua na action movies za maana zilizo jumuisha john wick, unlocked u.n.c.l.e spy kingsman secret service rogue nation na nyingine nyiingi kama hizo ila kwa mwaka huu mpaka sasa bado sijaona. kama umesha pata muvi ya maana iwe ni ya mkono halafu ikiwa...
  13. 911sep11

    Dressing Table ya mwanaume

    najua umekuja mbio ukifhani utakutana na chupa za manukato ya gharama mafuta na losheni mbalimbali. Ukweli ni kuwa losheni, manukato na mafuta yanayo mng'arisha mwanaume ni pesa... pambana upate pesa hata mimi napambana nipate pesa kama za huyo jamaa ambazo ni petty cash huku account ikiwa...
  14. 911sep11

    Je hizi ndizo sarafu za utajiri? zipo nyingi sehem fulani..

    nimezipata wakati nipo nachunga ng'ombe kwenye pori fulani(sitalitaja kwa sasa) zilikuwa kwenye korongo moja ambalo nimeliona baada ya mbuzi msumbufu kutumbukia huko..... naambatanisha picha hapa
  15. 911sep11

    KIJIWENI LEO: Dakika 120 kuamua matokeo kati ya Chelsea na Barcelona kesho

    heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza...
  16. 911sep11

    Majibu mujarabu kwa tatu mzuka

    nimeiona mahali hii na kwa sababu kule haikufika hebu tuifikishe kupitia huku
  17. 911sep11

    YAJAYO: Asiposhiriki kwenye msiba msimlaumu. Alifanya sehemu yake kwenda Muhimbili

    Pole za dhati ziwafikie waliofikwa na msiba wa mwanasiasa mashuhuri hapa Tanzania Mzee Kingunge. Moja kwa moja kwenye mada-kumekuwa na tabia ya kumcharua na kumzodoa na kumpiga vijembe mkuu wa nchi eti huwa hashiriki kwenye misiba. "Alifanya sehemu yake kwenda kumjulia hali marehemu kabla...
Back
Top Bottom