Search results

  1. Freewine

    Comments za wanaJF zilizowahi kunichekesha hapa jamvini

    Kwa miaka mitatu ambayo nimekuwa humu jamvini hakika nimegundua Kuna baadhi ya watu wanna IQ kubwa Sana ila Kuna wengine dooh! Lazima uwatafakari Mara mbili mbili ila yote kwa yote Ni kuwezesha eneo hili kukamilika kila idara. Sasa nakupa comments tatu nilizozisoma kwenye baadhi ya Nyuzi na Mimi...
  2. Freewine

    Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    Salaam zenu chief Nilishajijengea kila nikitaka kulala usiku lazima nipige angalau ishara ya msalaba ikifatiwa na Sala fupi ya Baba yetu uliye mbinguni........ Nikimaliza na maombi mafupi Basi napanda kitandani nalala. Kesho yake nikiamuka asubuhi Basi jirani wa nyumba Cha karibu nami...
  3. Freewine

    Wanatafutwa wadau kushirikiana ili kuanzisha Taasisi

    Salaam wakuu Baada ya siku chache Kuandika Uzi huu https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/watu-10-wanaoongoza-kwa-umaarufu-tanzania.1629692/?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfrTdATCJoLrpw-7 Baada ya impact yake kuwa kubwa nikaona hii inaweza kuwa fursa na vijana...
  4. Freewine

    Wanatafutwa wadau kushirikiana kuanzisha taasisi

    Salaam wakuu Baada ya siku chache Kuandika Uzi huu https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/watu-10-wanaoongoza-kwa-umaarufu-tanzania.1629692/?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfrTdATCJoLrpw-7 Baada ya impact yake kuwa kubwa nikaona hii inaweza kuwa fursa na vijana...
  5. Freewine

    Watu 10 wanaoongoza kwa Umaarufu Tanzania

    Umaarifu wao Ni kwa namna wanavyojulikana kwa watu wengi Tanzania. Kujulikana kwao Ni zaidi ya asilimia 50 mmoja mmoja kujilikana kwa Watanzania 10. HARMONIZE Kijana jitihada zake kwenye mziki zinamfanya kuongeza idadi kubwa ya watu wanaomfuatilia na kumfahamu. Kama Ni asilimia ana 52% 9.JAKAYA...
  6. Freewine

    Hongera Marlaw kwa kurudi Tena kwa game

    Ngoma yako ya Taa Kali Sana braza, hongera kwa kurudi kivingine. Sometimes ngoma za mapenzi zinatuchosha Sana sisi mashabiki. Nyimbo Kama hii ya Taa inatupa nafasi nyingine ya kujinyenyekeza kwa Mungu maana sio Kila muda mapenzi. Keep moving na daima unyenyekevu plus good music vitakufikisha mbali
  7. Freewine

    Vipi kama hii itakuwa njama ya Mabeberu kuwajibisha Serikali hii?

    Wazungu kwa miaka mingi sana wamekuwa wakinyonya serikali maskani za Afrika ikiwemo Tanzania bila kuona haya. Chanzo cha mzungu kuibia waafrka hakuji bahati mbaya ni mipango mathubuti iliyopangws na serikali zao kuhakikisha nchi maskani zinaendelea kuwa maskini. Wazungu hawa hawajileti kwenye...
  8. Freewine

    Push Up 100 Kila siku iko poa Sana kwa Mwanaume

    Habar zenu Members! Wataalam wa gym na physical coach naombeni ushari. Mimi Ni kijana urefu 176cm na uzito kilo 63. Nimejiwekea malengo nisizidi kilo 65 kwa umri wangu huu chini ya miaka 30. Sasa ku maintain huyo uzito nahakikisha Kila siku nalala baada ya kupiga push up 100 (sio kwa mkupuo) na...
  9. Freewine

    Kwanini Tanzania hatuna "majanga day" au "maombolezo day"?

    Nimekuwa nikifatilia tukio la ajali ya Morogoro, nimegundua watanzania tuna kosa vingi Sana kwenye ubongo wetu. Ubongo wa mwanadamu unabeba vitu vingi sana kiasi kwamba kwa vitu ambavyo havikumbushwi mara kwa mara huishia kufutwa na ubongo japokua sio kufutika kabisa, ndio maana unaweza...
  10. Freewine

    Kwa staili hi kitandani Mimi Leo Ni mateka!!

    Wakuu kwema Muda c mrefu nimetoka kwenye mihangaiko yangu kwenye banda la chipsi. Kwa sababu muda umeenda nikaamua kupita mtaa Fulani shortcut ili niwahi kufika gheto kwangu (mtaa mwingine) Nikiwa natembea kwa miguu huku nawaza na kuwazua namna nitakavyoboresha biashara yangu nikimbizane na...
  11. Freewine

    Kitabu kikitumiwa vyema na watunga sera wetu wa michezo tunaweza kuja kujenga Taifa Stars kwa ufanisi Sana.

    Salaam bosses!! Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu pale ambapo inaambulia kipigo kwa timu za kawaida Kama Lesotho, Kenya n.k Wengi wa mashabaki wa mpira wanna mapenzi Sana na timu yao ya Taifa lakini wanaambulia kipigo. Mfano mzuri na kitendo Cha Taifa Stars kutolewa kwenye mashindano ya...
  12. Freewine

    Msaada: namna ya kutengeneza table of contents katika Ms word

    Samahani wadau Nina mdogo wangu yupo chuo, now wanaandaa research. Kaka yake ameniona muda mrefu natumia computer Sasa anadhani Kila kitu kinachohusu computer Mimi nakifahamu, japo nimeshamsaidia Sana kuhusu kutumia pc. Sasa anaomba nimsaidie namna ya kutengeneza TOC ya research yake Ili muda so...
  13. Freewine

    Usajili wa laini kwa alama za vidole

    Habar waungwana!! Kwa taarifa za awali nilisikia suala la kufungia laini ambazo hazijasajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole litaanza tarehe 1_05_2019 na watu wakataadharishwa kutoa vipesa vyao huko Kama hawajakamilisha zoezi Hilo. Taarifa zingine zinadai mkuu wa Kaya amesogeza suala Hilo mpaka...
  14. Freewine

    Tundu Lissu katika chujio la moto, muda hausimami, amua kufa kwa ajiri ya wananchi wa Tanzania

    Salaam, Hakika ujumbe huu umenichukua Kama wiki mbili kuuleta. Natumai unaenda kuanzisha harakati mpya ya ukombozi wa Tanzania. Unajua Kama unaongozwa na chama Fulani zaidi ya miaka 50 mfululizo bila mabadiliko lipo tatizo kwenye nchi hiyo. Turudi kwenye mada, hivi Kuna anayeweza kuamini...
  15. Freewine

    Yanga aibu gani hii: Naona imefungua akaunti ya kuomba michango kwa mshabiki

    Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango. Wanawachoresha wachezaji wakishawishi watazamaji angalau wawachangie huku wakijinasibu kwamba watukua wanatoa bank statement Yanga yenye...
  16. Freewine

    Tunatakuwa kubadilika, kwanini usambaze magonjwa hasa UKIMWI kwa nakusudi!

    Duniani kuna mambo mengi yanayowasikitisha watu lakini kwangu Mimi jambo kubwa linalonisikitisha hapa Duniani Ni pale MTU anajijua ni mwathirika wa UKIMWI lakini unakutana anabanana na vibinti vidogo vidogo anavipiga MITI. hili ni jambo baya sana kwa wazee wenzangu kwani unafanya hivyo kwa...
  17. Freewine

    Man U anakuwa bingwa UEFA mwaka 2019

    Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo. Man U fans tujiandae kusherekea kubeba ndo ya UEFA msimu huu 2018/19. TChao uwe na ushabiki mwema
  18. Freewine

    Kuna ka sintofahamu kuwa HIV/AIDS haupo kwamba ARVs ndo zinashusha kinga ya mwili!!!!!

    Ndugu miaka ya 1980 hadi 1900s tulishuhudia Ndugu zetu wakifa vibaya kwa mateso sana kwa ugonjwa ulikuwa hautambuliki vizuri wengine wakiuita na kusema kakanyaga miwaya, kapandisha genji, umeme, ngwengwe nk. Hiyo yote ulikuwa ni kutofahamu zaidi huu ni ugonjwa wa aina gani, wengine...
  19. Freewine

    Course ya Ukocha wa mpira wa miguu kwa muda mfupi

    Jamani kitaa kuna fursa nyingi zinazoitaji uthubutu tu, unaanza kufuta jasho kwa noti. Wazazi wengi wa kileo wanapenda kuwarisisha watoto Wao ujuzi wa kitu Fulani. Sasa mid nimeona kuna fursa ya kufundisha watoto mpira ila cheti kinachonithibitisha kufanyia kazi hiyo sina. Mpira unaweza lakini...
  20. Freewine

    Tupia ratiba ya mechi kali leo za Ulaya

    Wadau kutokana na changamoto ya bando inayoweza kumkuta memba yeyote humu ndani. Naomba kwa niaba yao tuwe tunatupia ratiba na matokeo ya mechi Kali za ulaya kila siku kwenye Uzi huu. Asanteni
Back
Top Bottom