Search results

  1. kindikinyer leborosier

    Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Pole sana... Hua nikiwaona wazee wanasema Wana experience na mapenzi nakaa tuu pembeni nawaangalia.. ila vijana sahivi tunakutana na mambo ambayo hata wao sidhani kama wanaweza kuyavumilia.. ila na ww ukizingua.. una laki ya haraka haraka hivyo na unasita kuoa..
  2. kindikinyer leborosier

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Kitu Cha mufindi... Kimechumwa alfajiri kabla ya jua kuchomoza.
  3. kindikinyer leborosier

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    mwanamke ukimshughulikia vizuri vichenchi hivyo atasimama muda gani kuvichukua... tafuta mukongoraa hio kitu isimame pisuri...
  4. kindikinyer leborosier

    Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    wapeleke pale wachaga walipokanyaga mafuta ya kupata hela... zungusha peleka mpka matejo waonyeshe miti ya miraa inavyokua watoto wa chuga... wapeleke mererani wasimulie kesi ya bilionea msuya... wapeleke meserani wakaone nyoka... warudishe rau mtoni, huo mto una maji machache lkn haukauki...
  5. kindikinyer leborosier

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi...
  6. kindikinyer leborosier

    Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  7. kindikinyer leborosier

    Naombeni mnishauri kwenye hili la wadogo zangu kuhusu aina ya kozi za kusomea

    Hello habarini wanajamv, poleni na majukumu ya kila siku. Miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu mimi binafsi. Matokeo wiki hii yametoka: 1. Alisoma ECA amepata div 1 ya points 8 2. Alisoma PCM...
  8. kindikinyer leborosier

    Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    vigezo ni vitatu tu 1. anakuvutia, na unampenda 2.anajua kupika 3. ana nidhamu, hofu ya Mungu na kuthamini marafiki zako na ndugu zako
  9. kindikinyer leborosier

    Hakuna anacholeta kwenye haya mahusiano zaidi ya ngono

    Joanah,, acha watu walipane ujira bn, 😀 matatizo ya kulipana ujira yapo sehem nyingii..
  10. kindikinyer leborosier

    Jirani yangu humpiga mkewe kila kukichwa. Nifanyeje?

    watakutahiri,, ngoja mke wake amwambie 'bby eti wewe ukinipigaga kimahaba yule kaka ananiambia unanionea'
  11. kindikinyer leborosier

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    inawezekana alikua na mtu aliempenda sana lakini kwa bahati mbaya hakumwoa... mapenz hayo yanatengenezwa jitahidi kujiweka karibu, wakati mwingine toka nae out.. jaribu kumweleza usitumie force sana vijana na huu utandawazi wanaona vingi..
  12. kindikinyer leborosier

    Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

    umeshtuka mapema hajahongwa kishkwambi cha wizara!! una nongwa sana.. unayataka matatizo kwa nguvu sana
  13. kindikinyer leborosier

    NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    "Mwanangu Kindikinyer siku ukiwaza kuoa hakikisha umeushirikisha vizuri ubongo wako, na uwe umefunga vyotee na kujua kweli sasa nina mke, usaliti unaumiza sana ndani ya ndoa" baba yangu alipata kisema haya
  14. kindikinyer leborosier

    Unatumia utaalamu gani kufanya chapati zako za kusukuma ziwe laini?

    😀😀😀 chapat zinakua ngumu kama maisha!! uskate tamaa unavyokosea ndo unajifunza zaidi
Back
Top Bottom