Search results

  1. Sabry001

    Mfanyakazi (msaidizi wa nyumbani) ana busara kuliko mke wangu

    Mmh eti ulikosea, kwani ulilazimishwa? Hukuona wa makabila yenu?
  2. Sabry001

    Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

    Nawashukuruni kwa michango yenu mtakuwa mmenisaidia kutokumshauri mtu bdae nikalaumiwa.
  3. Sabry001

    Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

    mi staki kujua ni boya au ni meli ninataka ushauri. What if anakujaga kunieleza je?
  4. Sabry001

    Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

    olewaga na mtu mwingine tu kama amejitokeza maana hivi viumbe vya jinsia ya kusimama sometimes hawanaga muamana hata kidogo. kila la kheri mwaya
  5. Sabry001

    Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

    kuna mtu anahitaji msaada wangu na nahisi siwezi kumshauri vizuri sana kutokana na itikadi zangu dhidi ya wanaume. Huyu dada kanijia, alikuwa na mpenzi wake wamekaa wote kwa miaka 2 na walikuwa vizuri tu, mwaka huu May uliibuka mjadala kati yake na huyu kijana kwamba anataka amzalia mtoto...
  6. Sabry001

    Kung-fu kwa hapa Moshi

    Nenda CCP wanafundisha
  7. Sabry001

    Mkasa wangu

    hahaa@mkorinto, ur crazy! Nimependa huo mwendelezo anyway
  8. Sabry001

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Ur so heartless, she knew it na ndo mana akakuacha mana hakuna jinsi mtu aeza ishi na mtu ako na kisasi ka nguruwe au mbwa!
  9. Sabry001

    Kazi ya ualimu kweli ni wito

    We angalia ikama inasemaje, vipindi 24-32 kwa wiki so vikizidi mwambie mkuu wa shule atafute mtu. Shulen4 kwangu tuna mwalim 1 wa maths hvyo anafundisha madarasa ya mtian4 2&4 bs. Jiongeze mwayego
  10. Sabry001

    Natafuta rafiki mwanamke (kampani) wa kwenda nae katika Harusi

    Ingekuwa Arusha ningekusindikiza bt mbona tarehe zimepita?
  11. Sabry001

    Sasa tumeanza kuijua kazi ya 'Katibu Mkuu Kiongozi'

    miss u Washawasha
  12. Sabry001

    Tunaomba ushauri: Miaka 37 ana Mchumba wa miaka 19

    Mbona hiyo haina shida? Namfahamu mtu ako na miaka 40 nae hana hata mtoto wa kusingiziwa na hana haraka na maisha!
  13. Sabry001

    Nafikaje Mbulu Manyara

    Thanx nimepata direction pia nami naenda mbulu.
  14. Sabry001

    Nakunywa coca cola 5 kila siku, nifanyaje niache!?

    Zeroseventytwo coca cola ina kitu kama addiction miaka ya nyuma nilikuwa nakunywa koka bonge 2 kila siku, na ikitokea sijanywa nakuwa anxious sana. Sikumbuki niliachaje bt after one day kukatiza usiku wa matisa kwenda kutafuta coca, nlipomaliza kuinywa ndo fahamu zikarudi nkajikuta naogopa...
  15. Sabry001

    Nimeshaomba kazi mara 250, sijabahatika!

    Sema Sasa, never ever fall on temptation! Unatakiwa ukomae na jambo moja mpaka kieleweke, umejaribu jaribu mno mambo mengi kiasi kwamba hujui nini la kufanya tena. Anzisha tena kamradi kokote then muombe Mungu akufanikishe, achana na mambo ya uganga maana after sometimes unajikuta unarudi pale...
  16. Sabry001

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    hahaa! Kila kitu ni bahati
  17. Sabry001

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    pole bt udom mbona tumetoka majembe ya uhakika tu? Usikate tamaa
  18. Sabry001

    Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

    Kama ukiwa mgonjwa alikuhandle with care tena bila malalamiko wala kukunyanyasa unapaswa ujiweke ktk nafasi yake uwaze na ujue kuwa alijitahidi to the maximum kuhudumia familia na mgonjwa bila kutetereka. Ulipopona alitarajia ungepata kazi mapema ili msaidiane maisha bt mambo yalipokuwa kinyume...
  19. Sabry001

    Nampenda mke wangu mtarajiwa, niombeeni

    Wanaume bhana! Hapo uko na bashashaa...
Back
Top Bottom