Mzee wangu alitibiwa kenya aliacha kama 15m kwa tendon repare tu. Utaratibu wao ni kwamba madaktari bingwa wana private clinnics alafu wanafanya consultations, ukiitaji upasuaji wanakodi theatre, mtu wa usingizi utamlipa, nurse utamlipa, kitanda utalipa kila kitu mpaka gloves na ni pesa mbele...
Kama nchi ina watu wengi PPP yao inakua kubwa, ndio maana china inaizidi US in terms of PPP, ila sio index nzuri. Mi nadhani index nzuri ni quality of life kama nchi za brunei, qatar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.