Search results

  1. Rdj Shibo

    Kurudisha Facebook Account

    Naomba msaada wako, nina tatizo kwenye account yangu ya Facebook. Kuna mtu inaonesha kabadili Password Email pamoja na namba za Simu, naomba msaada wa kuirudisha. Natanguliza Shukrani.
  2. Rdj Shibo

    Mtandao upi napata Unlimited Data kwa malipo ya mwezi

    Habari wanandugu Natumaini ni wazima Naomba Nsaada wa Kusaidiwa namna gani naweza kupata huduma ya kufungua internet cafe na shida yangu kubwa ni upatikanaji wa data plan mzur yani mtandao upi unafaa pia talatibu za kuunganishwa zipoje..
  3. Rdj Shibo

    Msaada: PlayStation 2 PS2 Games inashindwa ku load

    Habari ndugu zangu naomba msaada wenu ps2 yangu inashindwa ku load game kwa Flash Inaleta black screen. Naomba Msaada [emoji1317]
  4. Rdj Shibo

    Kufanya Manunuzi ya Vitu Kikuu online Shop

    Habari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
  5. Rdj Shibo

    Njia ya Kupokea Mzigo Wako Ulionunua Mtandaoni (Kikuu, Alibabaexples )

    Ndugu zangu wengi tunapenda kufanya manunuzi ya vitu mtandaoni mfano Alibaba na Kikuu ila je tunapataje vitu 1:Njia gani salama za kutumia kuletewat mzigo 2:je anuani gani au utambulisho gani natuma ili mzigo ufike kwenye eneo husika 3:je gharama gani nitatoa au kulipia nitakapo pokea mzigo...
  6. Rdj Shibo

    Ukweli kuhusu kununua bidhaa kupitia Kikuu Platform kwa sasa

    Kama Uzi unavyo jieleza tupo hapa kupolea maoni maono pamoja na Ushuhuda kutoka kwa watu mbalimbali kwa pamoja kuusiana na kuagiza au kununua bidhaa kupitia Kikuu. Naomba kwa pamoja tuanze mjadala wetu hivyo. Karibuni Sana
  7. Rdj Shibo

    Leo naomba tujuzane kuhusu Radio Transmitter gharama na ubora, ukubwa pia

    Kama nilivy anza hapo, naomba tupeane muongozo au tujuzane kuhusu Radio Transmitter kwa undani haswa namna ya kuipata na gharama zake na ukubwa karibu kwa maoni na mchango wako.
  8. Rdj Shibo

    Kampuni nzuri kwa blog (Popads, Adsense nk)

    Kama hapo kichwa kinavyosema, nilikuwa naomba tujuzane ni kampuni ipi nzuri kwa bloggers ili kuweza kupata faida kutokana na blog yake. Najua wapo waliofaidika na wanaofaidika hivi sasa na walioingia hivi karibuni kwenye hayo mambo. Itakuwa vyema endapo tukipeana maelezo na ni vipi twaweza...
  9. Rdj Shibo

    Wenye ujuzi wa kupeleka nyimbo Redioni na kufanya prom Kwa Reduo

    Kama nilivyo anza juu ni kujua nani anauwelewa na amewahi kupeleka nyimbo Redioni ili tupate kujua alitumia njia gani kupeleka
  10. Rdj Shibo

    Application za Redio Mzuri Duniani na Tanzania

    Habari jamani application hipi ya redio naweza kusikiliza na kurecord kabisa
  11. Rdj Shibo

    Naitaji Kupata PS2 PES 2020 (mpira mpya)

    Kama nilivyo haza hapo ninashida ya game la mpila ambalo ni la uajili uhuu wa sasa ambalo ni pes 2020 naitaji la ps2 msaada wadau
  12. Rdj Shibo

    Nahitaji computer desktop

    Kama kichwa kinavyo sema naitaji desktop computer ila naitaji iwe ya bure yani bila haddisk whatssap me 0689808619 tufanye biashara
  13. Rdj Shibo

    Natafuta laptop offer yangu ni 180000

    Kama kichwa cha uzi kinavyo sema naitaji laptop nina kiasi cha 180000 nipo Daresalaam mawasiliano 0689808619
  14. Rdj Shibo

    UITAJI WA PS3 GAMES

    Jamni wanafamilia wa jamii forum ninaitaji games za PlayStation3 naomba msaada wenu ni bei gani maana naitaji magemu kama Mpila na god of war
  15. Rdj Shibo

    PS3 jailbreak au ku-chip

    Kama kichwa kinavyosomeka Naomba msaada hivi baada ya ku chip PS3 yako unauwezo wa kuingiza game kwa kutumia USB Flash au External Hard Disk?
  16. Rdj Shibo

    KWA WATAHARAMU WA PS3 PLAYSTATION 3 HAPA TUSAIDIANE

    Kama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila kwangu aioneshi magemu zaidi ya nyimbo pamoja na picha tuu ila magame ayaonikani yani inakua kama...
  17. Rdj Shibo

    Halotel wanatatizo gani kwenye modem zao

    Gafra modem yangu haisomi laini/simcard Kwann naomba msaada ili niendelee na kazi zangu Wanandugu
  18. Rdj Shibo

    Msaada: Modem yangu ya halotel inagoma kusoma line/simcard

    Kama apo uzi unavyosema kuwa modem yangu ya Halotel inagoma kusoma Sim card Gafla sijui nifanye nini Naomba msaada wana familia wa Forums
  19. Rdj Shibo

    Msaada laptop yangu imegoma kutumika keyboard

    Kama Kichwa apo juu kinavyo sema laptop yangu gafra IMEGOMA kutumia keyboard naisi nimelock Sehemu ni aina ya Toshiba MSAADA ndugu wa forums
Back
Top Bottom