Search results

  1. H

    Club Anthem zenye hisia kali zinapoimbwa Duniani

    Les grandes équipes! The champions ! Huu wimbo unaamsha morali kubwa sana ya kucheza mpira wa miguu. Ikipigwa watu wengine mpaka wanalia kwa hisia kali na wakitoka hapo wana vaibu la kukata na shoka. Ninaukubali sana watu wanaimba kwa sauti ya juu sana kwa hisia kali huu wimbo ni mzuri sana ...
  2. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Uzuri mboga saba na watoto midebwedo au watoto wa vigogo ni wachache jeshini, wazalendo halisi wapo vizuri , kwa hiyo haina shida. Ila kuleta ubishoo jeshini hususa ni kwenye kozi za kuandaa askari na kupangia hawa kambi ile na wale kambi flani kwa sababu za hadhi ya wazazi wa watoto ni...
  3. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kinaumana jeshi gani ? 'Intake' itawahusu wa mtaani wasomi ? Fani ipi au ni walioko makambini ? Naomba ufafanuzi ndugu.
  4. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ronja ya nafasi za mafundi na madereva JWTZ ikoje kwa sasa au ishu ilishapigwa chini ?
  5. H

    Mliopita JKT tunaomba mtupe ushuhuda

    Kwa mimi, kazi nzuri sana hapa duniani kuzidi zote ni jeshi. Jeshi ni kama 'mitochondria' ya seli hai ya kiumbe hai. Jeshi linaweza kuendesha mambo yake kivyake bula kutegemea msaada mwingine, yani ni kama nchi flani hivi [emoji1][emoji1][emoji1] Kuna kila aina ya kitu kilichopo duniani na...
  6. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sio magumu tuu, ni magumu sana.
  7. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna wengine wamesoma mpaka elimu ya juu zaidi (shahada, uzamili na uzamivu) ili wakaitumikie nchi jeshini kwa taaluma zao. Sasa kama humpi nafasi kisa elimu yake si mapuuza hayo aroooh ? Jeshi linahitaji watu wote, wasomi wa ngazi za juu wakafanye kazi zinazowahusu jeshini, na waliosoma elimu...
  8. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ninavyopenda kujila kwa kijeshi ningejila mpaka nikaisha sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ningepiga kozi mpaka kiunzi cha mwili kikawa kinaonekana kwa kukonda na mazoezi, Mamaeeh
  9. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahaaah asante kwa kunijuza nilikuwa sifahamu hili.
  10. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Duuuuh ulishabarikiwa kuingia jeshini tena ukapata na nafasi ukawa TMA badae urudishwe kitaa kusota tena ? Noma sana
  11. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wanaosoma pale ni maafisa wa jeshi wenye cheo kuanzia Kanari na 'directors' wa idara mbali mbali za serikali za nchi mbalimbali.
  12. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi ya jeshi inafanyika mjini kwenye lami na maghorofa ? Duuuuh
  13. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ile ronja ya nafasi za madereva na mafundi JWTZ 'May' imeyeyuka kama theluji au ?
  14. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna bogi lipo MMJ litapiga kozi au nafasi zitatolewa na MMJ badae au ikoje ? Ile ronja ya nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi kwa madereva na mafundi mwezi 'May' au 'June' mwaka huu 2023 bado ipo au haina uhakika ? Nieleweshe kaka (kama unafahamu) asante.
  15. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Fani ya Udereva haihitajiki kwa sasa na jeshi la Magereza ndugu. Kwenye tangazo lao la kazi haimo na sidhani fani ambayo haijatajwa mle kwenye barua, kama itapewa kipaumbele chochote.
  16. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kabisa, mengine yote yanawezekana. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  17. H

    Uzi kwa waliosoma shule za jeshi-form 1&6

    Nimegoogle maana ya hili jina lako sijaipata. Naomba uniambie ndugu, niko kwenye "oparesheni saka maana ya majina ya kiingereza" nisaidie [emoji120]. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom