Search results

  1. Goti la samaki

    Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

    Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
  2. Goti la samaki

    Natafuta sehemu ya kujitolea

    [emoji120][emoji120]
  3. Goti la samaki

    Naomba kuuliza kuhusu NACTE

    Habari za humu wakuu, Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ? Je, matokeo ni mabaya sana? Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie Hii ni especially kwa kozi ya...
  4. Goti la samaki

    Msaada Chapu chapu

    Habari za humu , natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari hapo juu , Naombeni msaada , jana nilipata ajali kazini nikiwa na mtoto mzuri kitandani getoni kwangu. Ni baada ya kukaa muda mrefu bila kuonja asali ya papuchi jana nilipata hio bahati ,lakini bahati...
  5. Goti la samaki

    Msichana hanitaki tena

    Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu Wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ni baada ya Vyuo kufungwa sasa tumerejea majumbani kama kawaida ya wanafunzi nikakaa siti moja na msichana tulikua tunaelekea Mwanza. Kidume kwa kua nilikua na ugwadu mwingi maaana...
  6. Goti la samaki

    Mpenzi wangu hataki tushirikiane kimapenzi hadi tumalize Chuo

    Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Naombeni ushauri, nina mpenzi wangu leo mwaka wa pili hatujawahi kushirikiana kimapenzi anasema hadi tumalize chuo, anadai yeye ni bikra. Sasa hivi tupo Second Year. Je, niachane nae nichukue chombo kipya First...
Back
Top Bottom