Search results

  1. M

    Kazi kwenu

    Kujadili mambo yanayohusu nchi si kwamba unajiingiza kwenye siasa, bali ni kujalibu namna ya kuinusuru nchi na lolote baya au kuendeleza jambo jema. Wana jf fungukeni na tokeni katika chupa hiyo nchi hii inahitaji mchango wenu ili iweze kuendelea. Kazi kwenu!
  2. M

    Natamani kurudi home

    rudi hm ndugu 2pambane na waharibu nchi
  3. M

    Lema apinga kugawana vyeo, hamtambui naibu meya wala meya wa Arusha (tamko)

    kuweni wakubwa wa akili na utashi wa mawazo nyinyi. Kuzungumza mambo yanayohusu nchi si siasa bali ni kutafuta suruhu ya maisha ya watanzania, jitazameni wengine mnapinga pinga vitu ambavyo vipo wazi na Lema ataongea na ata watangania wataongea pia kuweni makini wachache wanaizamisha nchi hii na...
Back
Top Bottom