Search results

  1. Jeji

    leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Habari wakuu, leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa namshukuru sana Mungu kwa kunilinda hadi siku ya leo. pia shukurani nyingi kwa wazazi wangu.
  2. Jeji

    Mume na mke

    MUME: Mke wangu nakupenda sana ila naomba kujua umewahi kuvunja uaminifu mara ngapi? MKE: Siku ya kwanza nililala na mwenye nyumba sababu alikuwa anatudai kodi. MUME: Safii. MKE: Siku ya pili ulipo fanyiwa oparesheni na pesa hakuna nikalala na dokta. MUME...
  3. Jeji

    mama mkwe na binti

    baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.
  4. Jeji

    panya na nyoka

    panya alimkanyaga nyoka, mazungumzo yakawa hivii, nyoka: dogo vipi mbona unanikanyaga? panya: sorry brother bahati mbaya, nyoka: lione toto dogo madevu kibao, panya: ahh! mambo gani we kubwa zima lakini linatambaa.
  5. Jeji

    chaja na simu

    amini usiamini chaja na simu ni mtu na mpenzi wake, na walitaka wasikutane (kimwili) mpaka wafunge ndoa, ila wewe na wenzako mlivyokuwa mna tabia mbaya mnachukuwa chaja mnaichomeka kwenye simu kisha mnaulizana 'inaingia eeeh' tabia mbaya acheni huo mchezo sio vizuri.
  6. Jeji

    mr & mrs

    siku moja mr & mrs walikuwa wamekaa sebuleni, mr akataka kumsuprise mrs wake, akaenda chumbani akaweka line mpya kwenye simu halafu akampigia mrs wake aliye muacha sebuleni,..... HELLOW DARLING, bila kujua kuwa ni mr wake wife akajibu, KATA UPIGE BAADAE MAANA HILI LINGURUWE LIPO NDANI...
  7. Jeji

    Hodi wapendwa

    kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.
Back
Top Bottom