Search results

  1. othuman dan fodio

    Pole sana Katibu wa Chama Cha Walimu Tanzania ndugu Maganga

    Katibu mkuu maganga sasa makubwa yanenda kukufika sijui kama ni msimamo wako wa kweli au ni ulaji uliopo cwt ndio ulipelekea kugomea nafasi ya uteuzi ya ukuu wa wilaya ambayo Rais samia suluhu hasan alikuteua. Chama chako ulichokuwa ukikiongoza kama naibu katibu mkuu na baadae katibu mkuu ni...
  2. othuman dan fodio

    Iran VS Palestina

    Uwanjani mpira unaendelea na iran kashamtafuna ndugu yake palestina goli 2-0 mpaka sasa. Iran alipaswa kuonesha uungwana kwa kuonesha fairness kwa ndugu zake hata ajifungishe tu goli ili wapate furaha kufuatia kipigo wanachokipata huko nyumbani... Palestina hapendwi hata na ndugu zake kila...
  3. othuman dan fodio

    Sifa tunazopewa wakati wa Mnyanduano ni za kweli au tunazugwa tu?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kama mara ya tatu au ya nne kwa hizi pisi zimekuwa zikimwaga sifa kuwa the way nawapa kichapo cha mjegeje. Ni vile hawajawahi pata kipigo cha namna hiyo hapo kabla. Sasa swali nauliza hasa nyie pisi hizo sifa mnazotoa kwa mabaharia huwa ni kweli au ni...
  4. othuman dan fodio

    Madaraka matamu

    Kibabu Joe Biden kinaomba ridhaa kwa Mara nyingine kiendelee kukaa white house. Ingekuwa Africa makaburu yangesema ni uchu au uroho wa madaraka lkn kwakuwa ni huko kwao basi hiyo ndiyo Democrasia..
  5. othuman dan fodio

    Kweli Ualimu ni mzigo mzito

    Binafsi sikupendezwa hata kidogo na kitendo cha yule mwl. Mkora kumchapa viboko vya nyayonji yule mwanafunzi. Lakini pia sikupendezwa na kitendo cha wale walimu waliokuwa pembeni wakitazama tukio lile la kikatili ambalo mwanafunzi yule mdogo alishindwa kukutetea. Lakini namna suala hili...
  6. othuman dan fodio

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu, Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae. Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo...
  7. othuman dan fodio

    Lijenje yupo wapi.

    Wkt wa kesi ya ugaidi ya mbowe huyu mwamba alitajwa tajwa sn na mpaka hash tag zikaanzishwa za bring back our lijenje. Lkn Sasa naona kimya tena huyu mwamba ameshasahaulika. Lijenje yupo wapi?
  8. othuman dan fodio

    Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  9. othuman dan fodio

    Revonia trial.

    Miaka ya 1960s. Mwanaharakati mashuhuri na aliyekuja kuwa rais wa kwanza mweusi wa South Africa hayati nelson Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha na serikali ya makaburu. Madiba alihukumiwa kifungo cha maisha hukumu ambayo ilikuwa ya uonevu kwani alikuwa akipigania Uhuru wa watu wake ambao...
  10. othuman dan fodio

    Uchaguzi 2020 Hivi vyama vingine bado vinazindua kampeni kimyakimya?

    Nakumbuka wakati wa kutafuta wadhamini chama cha demokrasia na maendeleo kilikuwa kikitafuta wadhamini wake kwa uwazi na mikutano ya hadhara japo hawakupewa air time na vyombo vya habari lakini watu habari waliipata Baadhi ya vyama vya siasa vilitabanaisha kuwa wao wanafuta wadhamini kimyakimya...
  11. othuman dan fodio

    Tujikumbushe mwaka 2015 wakati wa kutafuta wadhamini hali ilikuwaje

    Mwaka 2015 wakati kama huu kulikuwa na zoezi la kusaka wadhamini kwa lengo la kupata akidi ya kuweza kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mtakumbuka vizuri wakati huo Edward lowasa alisimamishwa kuwa mgombea urais kwa upande wa ukawa mshindani wake akiwa Rais...
  12. othuman dan fodio

    Uchaguzi 2020 Tunapoelekea vituo vya mafuta navyo vitapigwa stop kumjazia mafuta

    Kufuatia vikwazo mbalimbali anavyowekewa mgombea urais wa chama cha CHADEMA ndugu Tundu lisu na serikali ya ccm ili ashindwe kufanya kampeni zake vizuri, upo uwezekano wa vituo vya mafuta kupewa maelekezo kuacha kuweka mafuta kwenye misafara ya TL. TL amekuwa akitumia usafiri wa ardhini kutoka...
  13. othuman dan fodio

    Hakika huyu ndiye Lissu

    Kufuatia kushambuliwa kwake na risasi za rasharasha zipatazo 38 na 16 kuingia mwilini mwake hali iliyopelekea kuondoka nchini akiwa hajitambui kwa ajili ya matibabu. Tundu Lisu huyu ambaye kama sio mapenzi ya Mungu tungekuwa tumeshaanza kumsahau kama watesi wake walivyotaka iwe lakini...
  14. othuman dan fodio

    Je, huyu mlinzi wa Tundu Lissu anauwezo wa kumlinda dhidi ya jaribio lolote endapo litatokea?

    Bila shaka wengi wetu kwa siku za hivi karibuni tumeona nyuma ya Tundu Lissu kuna mtu anasimama kama Bodyguard katika kila sehemu anapokuwa mfano mzuri pia ni leo alikuwepo naye katika mkutano wa ACT Wazalendo. Ni kipande kimoja cha mtu huwa kinapiga miwani yake nyeusi na muda mwingi huwa...
  15. othuman dan fodio

    Msaada kuhusu Rais kutoshtakiwa

    Kuhusu Rais kutoshitakiwa, muda sio mrefu kesi aliyoifungua Edo Shaibu akisimamiwa na wakili Fatuma Karume dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli imegonga mwamba. Moja ya kigezo cha kugonga mwamba ni kwamba maombi hayo yamekiuka kifungu cha 46(1) na (2) cha...
  16. othuman dan fodio

    MH.Rais muongezee ulinzi, umlinde na kumpa imani muendesha mashitataka wa serikali (DPP)

    Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi. Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake nzuri muendesha mashitaka mkuu wa serikali kwani amekuwa akifanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo...
  17. othuman dan fodio

    Ezekiel wenje

    Hivi huyu kamanda yupo wp, bado yupo upinzani au alishaunga mkono juhudi Za awamu ya 5? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. othuman dan fodio

    Impact ya azimio la Zanzibar sijaiona

    Mwishoni mwa mwaka Jana tulishuhudia vyama takribani 10 vikijifungia huko Zanzibar' na kuahidi kuja na mkakati kabambe mwaka huu huku wakiahidi kuwa utakuwa ni mwaka wa demokrasia, kikao kilihudhuriwa na wanasiasa mashuhur akiwemo lowasa, sumaye , maalim seif, mbatia na wengine wengi, Lkn cha...
  19. othuman dan fodio

    Kuwa na mtoto wa kiume ndio uanaume

    Zipo familia nyingi zimejikuta ktk hali ya sintofahamu na migogoro isiyokwisha kwa sababu ya kukosekana kwa mtoto jinsia ya kiume hapa sizungumzii zile familia ambazo hazijabarikiwa kuwa na mtoto kabisa. Wanaume wengine wameamu kwenda mbali zaidi hata kutoka nje ya ndoa zao ilimradi tu mtoto...
  20. othuman dan fodio

    Swali: Walimu wanahamishiwa shule za msingi watakuwa chini ya afisa elimu wa msingi au sekondari?

    Habari wanamember wenzangu, kwa siku za hivi karibuni katika sekta ya elimu kumekuwa na utekelezaji wa agizo la wizara ya elimu/Tamisemi kama sikosei la kuhamisha baadhi ya walimu wa sekondari hasa wale wa masomo ya sanaa (arts) kwenda kufundisha shule ya msingi. sasa swali langu ni hili: hawa...
Back
Top Bottom