Search results

  1. mohame kholani

    Huduma za Kihasibu na Biashara

    Tuna shughulika na kazi zifuatazo:- 1: Ku filling return 2: Kutengeneza vitabu vya kimahesabu 3: Makadirio ya kuanza biashara 4: Ushauri wa kodi (TAX CONSULTANT) 5: kuagiza mzigo nje ya nchi (importation). 6: Supply hardware and bulding materials. 7: Shughuli zote za stock na.... 8: Mifumo ya...
  2. mohame kholani

    INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

    Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck Bei full set ni Tsh.135,000 Kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000 Kinaonesha League za -UEFA -UEROPA -PRIMER LEAGUE -BUNDASLIGA -SPAIN LA LIGA -ITALY -FA CUP
  3. mohame kholani

    Msaada wa tatizo la S7 Edge kutopatikana

    Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g LTE nimebadili line mbili nimeweka katika hii simu bado inaleta tatizo hilo hilo. Naombeni msaada...
  4. mohame kholani

    TUNA SAFIRISHA MIZIGO RWANDA,BURUNDI NA CONGO

    Laxman Logistics Ni kampuni inayo fanya shughuli zote za kuprocess mzigo kutoka Nje ya nchi mpaka bandarini Tanzania mpaka kufika final destination katika nchi hizi Burundi,Rwanda na Kongo Tuna gari za kupeleka mizigo katika nchi tajwa Kwa maelezo zaidi wasiliana nami Sent using Jamii...
  5. mohame kholani

    Kusoma China

    Habari wapendwa. Naulizia kusoma course za Masters nchini China za business, Je ukirudi hapa Tanzania ajira zake zipoje na kozi zipi hasa hasa za business zina soko? Naomba mwongozo na ushauri zaidi.
  6. mohame kholani

    Brighter Monday mjiangalie

    Tarehe 11 mwezi wa 9 mwaka 2019 nilitumiwa email na hawa jamaa recruitment agency ya Brighter monday kuwa kuna nafasi ya uhasibu katika kampuni ya Sulfo industries nika apply sasa jumanne ya tarehe 17 mwezi huu wa 9,nikatumiwa msg na namba mpya kuwa nitume pesa kisha nipewe majibu yatakayo...
  7. mohame kholani

    Naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu safari ya kwenda Zimbabwe, nataka kwenda kwa basi la takwa

    Habari wanajamvi naomba mwenye idea ya safari kwenda zimbabwe nataka kwenda kwa basi la takwa naenda kibiashara kuna mtu mmoja wa hilo basi kaniambia safar ni ya siku tatu kwa basi je, 1:kuna changamoto zipi katika safar ya huko hasa mipakani napo pita. 2:Gharama za malazi hasa lodge na chakula...
  8. mohame kholani

    UBAGUZI KWENYE FOLEN DAR ES SALAAM

    Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa. Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k. wanauziwa korosho, weipa, jumper cables na alfabeti za watoto. Watu wa daladala wanauziwa sumu ya panya...
  9. mohame kholani

    Qualification to be an auditor.

    Habari zenu wana jamii nimekuja kwenu naombi hili la kuwa mkaguzi wa mahesabu.mie nasoma CPA [T] kwasasa level ya intermediate. Ningependa kuwa Auditor siku za mbele au accountant kwhy nataka kupata ujuzi kwasasa wakat nikiendelea kusoma hizo review class ya Intermediate level but nahitaji...
Back
Top Bottom