Search results

  1. Muumangu

    Ajira mpya za waalimu zamwagwa

    Zamwagwa ndiyo, au we hujaokota mkuu?
  2. Muumangu

    Ajira mpya za waalimu zamwagwa

    Majina yapo tamisemi i.e www.tamisemi.org.tz
  3. Muumangu

    Ajira mpya za waalimu zamwagwa

    Waalimu wa shule za sekondari na msingi 45 wameajiriwa
  4. Muumangu

    Ni lini ajira mpya za walimu wa science na hisabati zitatoka?

    Niko siti ya mbele, nasubiri jibu
  5. Muumangu

    Naomba Notes za advance wandugu

    Textbooks za a-level hizi hapa
  6. Muumangu

    Mike Tyson amuonya Anthony Joshua!!

    Kapicha ingependeza, wengine hatumjui huyo sijui AJ, tuliacha kuangalia boxing since Mike aliporetire
  7. Muumangu

    Naomba Notes za advance wandugu

    Mkuu nimeshakutumia e-mail yangu
  8. Muumangu

    Naomba Notes za advance wandugu

    Nashukuru kwa ushauri
  9. Muumangu

    Naomba Notes za advance wandugu

    Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level...
  10. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Ungeongea hivi bila kukashifu upande fulani ningekuelewa, kwani mfumo unaomuandaa Mwalimu kilaza toka Chuo chochote Tanzania uko chini ya serikali yetu tukufu, hivyo kuwa makini na kauli zako kwani sentensi moja inaweza kuibua hisia za chuki kwa watu flani, watoto wetu wanasomeshwa na hawahawa...
  11. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Mtoa mada hujielewi wallah, kwa vile wewe umeshasomesha unataka watoto wa wenzio wafeli, na inavyoonekana kwa kuwa baadhi yao nao ni bongolala kama wewe wanashindwa kushughulisha mind zao kwamba anaewashawishi ameshasomesha watoto wake, yeye hana tena jukumu hilo, ni watoto wao watakaofeli, nao...
  12. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Kwanza ulianza kwa kuwakashifu waalimu kuwa ni vilaza na sshivi unatukana kabisa, hii inaonyesha ni jinsi gani huna busara na maarifa kabisa, hata kusoma kwako kunakufaa mwenyewe, waalimu waliokufundisha since lower level up to where you are all vilaza compared to current teachers, that's why...
  13. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Yaan kwa hoja zako dhaifu, inashangaza kusema una elimu hiyo uliyonayo, serikali ndo inapaswa imuelimishe mzazi kilaza kama wewe umuhimu wa kuwa na mwalimu wa physics, na kwa jinsi unavyoonekana mkaidi ktk masuala ya msingi, hata ukielimishwa utareject tuu, polisi itakuhusu kama ni kweli
  14. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Wewe nahisi utakuwa hujaelimika pia, kuwa na master siyo kigezo cha kuwa na uelewa wa kuchanganua mambo mkuu. Nina wasiwasi na level yako ya elimu, watu kama nyie ndo mnaturudisha nyuma kimaendeleo siyo siri. Kwa uelewa wako wewe unadhani hao wazazi kwa hiari watashiriki kuchangia kweli? Hebu...
  15. Muumangu

    Wazazi wilayani Mvomero walazimishwa kuchanga fedha kwa ajili ya mishahara ya waalimu wa somo la sayansi

    Alaa kumbe wewe siyo mzazi wa hapo na ulikwenda tuu kama matembezi, labda ungetueleza wakwako walisoma shule zipi, tuanzie hapo mkuu
Back
Top Bottom