Mpe papuchi yako aionje kwa raha zake then unogewe na game yake usahau kuwa umeolewa, lahaula mume kajua ndoa huna na kazini wote wanajua umeachika kwa kugawa papuchi kwa huyo jamaa yako unayedhani u amfeel kama vile katoka peponi, fanya hima genye zizidi ili ujue kwanini ulizaliwa mwanamke na...
Ukijua maana ya kusamehe basi hutopata shida,unaweza kumsamehe mtu na ukaendelea kuongelea mabaya yake ili jamii ijue,maana unapomsamehe mwizi yafaa uyaseme matendo yake ili wengine wajue kuwa ni mwizi na moyoni unakuwa umemsamehe kwa kutokufanya kisasi kwa mwizi husika.Daudi aweke vyeti tu kama...
Endelea kuogoap hivyo hivyo maana gut yako inaweza kukuponya na siku zote amini hisia zako maana zinakulinda,endelea kumtazama zaidi kila mkikutana maana kwa kuwa kujui hata zile sign za kutumia kichwa kuwasiliana basi tulia tu siku utakuja kumkuta kifuani kwako ukiwa unaota ndoto ya mchana
Kama unadhani heshima ni kufanya ngono sawa ila kwa ufahamu wangu kufanya au kutokufanya haikufanyi ukose heshima,nadhani yafaa tupanue zaidi uelewa wetu kwenye maisha
Ukishakuwa na kitambi maana yake maisha yako yana changamoto nyingi ikiwemo chakula,mwenye kitambi anakula si masihara hivyo lazima uwe unajitosheleza kupakia chakula kwatumbo,pia mavazi hubadilika na kuwa na over size ambazo hazipatikani hovyo tofauti na size za kawaida.
Mwenye kitambi lala...
Hizi zilikuwa promo za kupata wasikilizaji maana redio iko hoi kipondi hiki kupata wasikilizaji,sasa wamebaki kukumbatia na kujipendekeza kwa watendaji wa Serikali ili wapate wadau wa kuwasikiliza,unatangazaje mtu kuwa studio wakati huna uhakika?
Mkuu wa mkoa ana rayiba na huwa hakutupuki tu...
Uongozi wetu wa sasa ni kanyaga twende,bila kanyaga twende utasikia jamaa kajiuzuru ukuu.
Ukitaka mipango nenda nchi nyingine sisi hatuhitaji mipango maana inapoteza muda na rasilimali fedha wakati sisi tunabana matumizi,si umeona hata tulivyohamia Dodoma wizara nyingine tumezipeleka pale UDOM...
Subiri bajeti ijayo ndio utajua kama fedha ipo au ilikuwa maigizo,povu la wabunge wa CCM ambao waliahidiwa miradi na hela hazijaenda ndio watatupa picha halisi maana wakisema wabunge wa upinzani huwa wengine hawaamini.
Nashangaa mnaanza kubwabwaja bila sababu,kazi ya gazeti ni nini kama sio kutafuta na kutoa habari?
Makonda wenu si ajibu tu kama wengine wanavyojibu tuhuma kuwa wanasinhiziwa na kwa kuwa vyeti anavyo ambavyo ndio anaulizwa navyo aviweke ushahidi,sioni tatizo la gazeti kwenye hili,ajibu tu hakuna...
Kuna wakati huwa nashangaa,hivi Dar wanakaa wpinzani pekee?Mtoa mada anasema Makonda kawapoteza wapinzani Dar yaani alichokuwa akikifanya makonda ni siasampaka wapinzani wapotee?
Mtoa mada hajaweka mlinganisho wa namna Makonda alivyowapoteza wapinzani maana katupa tu sahani yake mezani ambayo...
Maarifa na ukweli ndio yatakuweka huru,sasa kama hujawa mkweli basi maarifa yako hayana faida kwa jamii maana ipo siku utatumia maarifa hayo kuwaumiza wana jamii wenzako
Aje na vyeti vyake na aviweke wazi kwa waandishi wa habari kumaliza utata ila akijibu bila ushahidi basi hakuna atakalokuwa amelifanya,mengine yanajibika kihoja na kimkakati hivyo naamini atajipanga,namuonea huruma kijana huyu maana najua maumivu ya kashfa kwa moyo unakuwa huna amani moyoni wala...
Mkuu hujui kuwa ukiweza kuhudumia kitambi pia unaweza kwa urahisi sana kumhudumia binti yeyote hap mjini?
Halafu vibinti vyetu siku hizi havitaki vijana wenzao maana wkienda kwenye show vijana mnawatumia sana kiasi kwamba wanatoka wamechoka wakati wakitoka na wenye vitambi hupewa mahaba taratibu...
Kuna wengine bila kuingilia mapenzi ya watu maisha yao hayana furaha,ukiwajua unakuwa makini nao tu na ikibidi unawaweka mtu kati na kuwapa live kuliko kukaa kimya.
Mungu katuumba kila mtu na tabia yake ili tuweze kusoma kupitia wenzetu na kuishi nao kulingana na vilem vyao.
Namba tano haina mantiki kwa sasa maana kwa mwenye uelewa wa namna bikira inavyotoka si lazima ufanye tendo la ndoa,thamani ya mwanamke haipo kwenye K bali katika ule ubinadamu alionao kwa anayempenda.
Mambo ya pombe yana changamoto zake,tulianza na vibia vyetu vidogo dogo akaja jamaa akasema mbona mnapoteza raha ngoja niwaoneshe raha ya pombe,akaleta lile konyagi kubwa mil 750 na tonic water pamoja na ice,niliona raha tu maana sikuisikia radha ya konyagi maana tonic tamu mhm kumbe inanichukua...
Mramba na Yona wasingefungwa basi kama hoja ndio hiyo maana walikuwa wanatekeleza majukumu waliyopangiwa na Rais.
Tusipende kupindisha mambo na tuache sheria ichukue mkondo wake maana wakati wanataja majina tulishangilia hivyo na sasa tushangilie tu hakuna namna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.