Search results

  1. Baba Mtakatifu

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Kwanza nikupe pole na majukumu rais wetu. Baada ya pole nije kwenye point, Kumekuwq na mjadala mkubwa sana kuhusu mkataba wa bandari, kiukweli Watanzania walio wengi hawaelewi kuhusu huo mkataba zaidi ya kusikia tu wanasiasa wakiksema hili na lile. Nikiri hata mimi binafsi sijui kwa kina...
  2. Baba Mtakatifu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ni Hatari na Nusu
  3. Baba Mtakatifu

    Serikali yaagiza majeshi kununua viatu kutoka kiwanda cha Kilimanjaro Leather Industry

    Waziri wa wizara ya mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni ametembelea kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd ( KLICL) kilichopo mjini moshi na kuagiza majeshi yote yaliyo chini ya wizara kununua viatu kutoka kiwanda hicho kwa kuwa vina ubora wa hali ya...
  4. Baba Mtakatifu

    Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Nimesoma hii mada nimecheka sana! Nimehesabu kimoyo moyo idara yetu ina watu 8 ila wa 5 ni wachaga, nikaifikiria idara nyingine wapo 4 ila wa 3 ni wachaga, Ajabu ni kuwa mkurugenzi si mchaga, na interview ina fanywa na bodi nzima hakuna hata punje ya connection, kungekuwa na connection mi...
  5. Baba Mtakatifu

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Pssf ni serikali magereza ni serikali kwaiyo ni cha serikali na alikizindua maguful 2020
  6. Baba Mtakatifu

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
  7. Baba Mtakatifu

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Shusha nondo baba, moja ya nyuzi zangu nzuri nilizo subscribe
  8. Baba Mtakatifu

    TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

    Muongozo ulioutoa ni kwa mteja ambaye tayari ameshapatiwa huduma, ila kama kuna shida, hitilafu au kero yoyote inayomuhusu yeye kama yeye ndo atafuata huo muongozo kutoa taarifa. Tofauti ya huyu ni kuwa yeye si mteja bado ila anahitaji kuwa mteja wenu lakini kuna vizingiti vinavyomzuia yeye na...
  9. Baba Mtakatifu

    TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

    We jamaa naanza kupata mashaka kama kweli wewe ni mwakilishi wa TANESCO humu jamvini.. Tanesco wanakuwaje na watu weupe hivi kichwani.
  10. Baba Mtakatifu

    Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio mkombozi wa Taifa

    Chadema nawakubali sana hawa jamaa kwa Sera zao. Wapo tofauti sana.
  11. Baba Mtakatifu

    Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

    Bonge la slogan. Kama ni hivyo ni rahisi sana kufikia maendeleo
  12. Baba Mtakatifu

    Msaada: Industrial Engineer natafuta Kazi/Ajira

    Nashkuru kwa ushauri wako kaka, Ila kuhusu maswala ya vyeo Mimi si muumini wa hayo, Mimi huwa Naamini katika kufanya kazi kwa ufanisi na ubunifu na si kwa kuwa na vyeo...Pili kuhusu kupunguza baadhi ya vitu hapo nimekuelewa ingawa hapo ndo nimejaribu kupunguza na kumention vile muhimu tu ambavyo...
Back
Top Bottom