Search results

  1. Fatima binti hemedi

    Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

    Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa maaskari wenzio kukufungua macho yako....uamke kutoka msukuleni. Hapa tunakufunulia mambo yaonekanayo...
  2. Fatima binti hemedi

    Eti mweusi tunalaana???? Ndio hivi tumekuwa shitholes??? Lete hoja na ushahidi

    Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana, mafanikio sana, utajiri mwingi sana na kiburi sana. Pia walikua wanapenda sana sensual sins. Ina sadikika...
  3. Fatima binti hemedi

    What happened to Malcom X? Was it his attempt to open the black temple away from Islam?

    Wote wawili waliuliwa, Malcom X na Martin Luther King, je wakati umefika weusi waangalie upya tactical approach towards total liberation? Je tuende ng'ambo ya fikra dini kupata uwanja madhubuti wakutatua matatizo yetu kidunia?
  4. Fatima binti hemedi

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    NOTE: Ndugu mchangiaji mada. Kama ni mara yako ya kwanza kuja katika uzi huu, jaribu fuatilia ulikoanzia. Aidha, usisahau kwanza kuisoma mada na kuielewa awali ya yote ndiposa kubofya like kwenye mada. Asante na karibu sana ndugu. ----- Utajiri zaidi unaondoka Bara la Afrika kila mwaka kuliko...
Back
Top Bottom