Search results

  1. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Huyu dada tumekutana nikampenda kwa dhati na nina malengo mazuri na yeye. Nashukuru alinipa ushirikiano hadi sasa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Mm kama MTU ambae nimepitia mabinti wengi huko zamani sikuhitaji na yeye huyu niwe mpitaji kwake,sasa cha ajabu nlilipata taarifa za uhakika toka kwa...
  2. Tushfutshtar

    Huu ni uaminifu au hanipendi?

    Salaaamu zenu wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, kuna dada tuliwahi kuonana Dar tukapeana namba nikaimbisha mistari yangu akakubali pindi alikuwa keshaondoka yupo mkoani, mawasiliano yakaendelea kama kawaida hadi tukawa tunafanya ile night romantic love charting, Kwa kweli nina mwelewa...
  3. Tushfutshtar

    Nimechoka na story za mapenzi za kubuni zinazoletwa na baadhi ya members

    Nawasalimu! Nimechoka na story za kutunga na kubuni za baadhi ya members humu, sioni sababu ya kunyamaza na kupotezea hili hata mkisema niachane nao lakini mtu mzima na akili zako tafakari ikiwa unatunga story tena unazungumzia maisha ya ndani ya mapenzi yako! Utasikia nimetoka Jana na...
  4. Tushfutshtar

    Nahitaji mwanamke wa "kuanzisha" nae mahusiano

    Hello Bila shaka mko poa! Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja! Umri : 28 Mwanachuo mwaka wa tatu (mwisho) ngazi ya degree Rangi : MAJI ya kunde Urefu: sipungui ft 5 Inje na shuke : Mjasiriamali...
  5. Tushfutshtar

    Mrejesho wa aliyeniomba nimvishe pete

    Habari za wakati huu bandugu! Moja kwa moja kwenye mada, nilikuja na Uzi wa kuhusu Dada tuliekutana nae kwenye WhatsApp na tukaonana baadae kupendana,then baada ya mahaba kushmili akaniomba nimvishe Pete, ndipo nilikuja na Uzi kuomba mawazo kuhusu ombi la huyu Dada, Hadi naandika Uzi...
  6. Tushfutshtar

    Ameniomba nimvishe pete

    Hello! JF members, Bila shaka hamjambo sana na kwa wale wenye changamoto tuzidi kumtegemea Mwenyezi Mungu na kujibidisha katika kujijenga. Kama kichwa cha habari kisemavyo , juzi kati nilikuja na uzi wenye kichwa kilichosema "Tumekutana WhatsApp tukapendana haswa!" kwa kweli maendeleo yetu ni...
  7. Tushfutshtar

    Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

    Habari zenu wadau! Kama kichwa kisemavyo, nilikutana na binti kwenye group la WhatsApp tukaahidiana kukutana na ikawa hivo,nilijikuta nampenda sana na yeye mwanzo alionesha ana nipenda sana lakini baadae akawa MTU mwenye ratiba zisizoeleweka hadi mawasiliano yakaingia DOA na nikawa MTU wa...
Back
Top Bottom