Search results

  1. Iyegu

    The White Room Torture:Mateso ya Kikatili bila kuguswa!

    Je! Umewahi kufikiri kwamba rangi inaweza kutumika kama njia ya mateso? Inaonekana, ni. Ukatili wa Chumba cha cheupe unachukuliwa kuwa mojawapo ya aina nyingi za hatari za akili. Ingawa njia hii ya maumivu imekuwa imetumiwa kwa miongo kadhaa, ikawa maarufu hivi karibuni na matumizi yake nchini...
  2. Iyegu

    Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Line Za Simu

    Serikali Imetoa Ufafanuzi Kuhusu Tamko Lake La Awali Kuhusu Umiliki Wa Line Za Simu.Tamko La Awali Lilieleweka Kuwa Mtu Anatakiwa Kuwa Na Line Moja Tu Ya Simu. Ufafanuzi Huo Umesema Kuwa, Ni Line Moja Kwa Mtandao Mmoja Wa Simu! Chanzo: ITV HABARI
  3. Iyegu

    Vincent van Gogh

    Vincent Willem van Gogh (30 Machi 1853 - 29 Julai 1890 ) alikuwa mchoraji kutoka Uholanzi. Huhesabiwa kati ya waanzilishaji wa uchoraji wa kisasa. Aliacha picha 864 na vichoro zaidi ya elfu moja na zote alichora katika miaka 10 ya mwisho wa maisha yake. Van Gogh alizaliwa mjini Zundert...
  4. Iyegu

    Wamama wanaowapiga sana watoto wao, huwa hawawapendi waume zao( Baba watoto)

    Wakuu, nimefuatilia muda mrefu hawa wamama ambao wakipata mwanya wa kuwaadhibu watoto wao, hutembeza kipigo cha haja/ cha mbwa koko na nimegundua kuwa huwa na chuki kama sio kuwapenda waume zao ambao ndio baba watoto! Suala la kuwapiga watoto si kosa ila wapo ambao hutembeza kipigo cha adabu...
  5. Iyegu

    Uzi maalum: Vitendawili, methali na nahau

    Habari zenu wajumbe? Ndugu wajumbe, Karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengine wakitegua kuanzisha na wengine kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali. Naanza: Nahau: Amevaa miwani....
  6. Iyegu

    Msaada wa kupata muvi ya "Chiku na Kapili"

    Salamu Wajumbe. Kuna muvi ya kiswahili niliwahi kuitazama miaka ya 2009/10 ya vijana wawili,mmoja wa kike mmoja wa kiume ambao walikuwa wanaishi msituni na wazazi wao ambao walifukuzwa kwa uchawi kijijini. Wao walizaliwa hukohuko porini na baadae wazazi wakafa hvyo katika tembea zao wakaibukia...
  7. Iyegu

    Akili ni nini?:Swali lililokwamisha mjadala wa Mshana na Kiranga.

    Kuna thread ya Mshana Jr inayosema kuwa Kiranga sio atheist ni non-believer inaelekea page ya 50 ikiwa imekwama kwenye neno "akili...". Kwa upande wangu naona mjadala ule hauna maana yoyote kwasababu kila mtu anakwepa kumjibu mwenzie swali moja tu. Mshana:Kiranga una akili au hauna akili...
  8. Iyegu

    Hii inamaanisha nini

    Expired inamaanisha nini?
  9. Iyegu

    Watu Wa Mwanza.....

    ....
  10. Iyegu

    Nawezaje kuweka game la kwenye simu kwenye PC?

    Nina game la Winning Eleven kwenye simu,nataka niliweke kwenye PC.Je,inawezakana?kivipi? Cc: CHIEF -MKWAWA
  11. Iyegu

    Utaratibu wa kuwakata wanachuo hela ya field kwa ajili ada....

    Kuna chuo X kipo mkoa flani ni cha ualimu,kinawakata wanachuo hela iliyotolewa na serikali kwa ajili ya kwenda field ili kulipa ada na michango.Wapo wanaokatwa hadi laki moja na nusu kwenye 350,000 wanayopewa na wanatakiwa kwenda kukaa miezi 2.Sasa watakwenda kuishije huko kwa hela hyo?
  12. Iyegu

    Smartphone nzuri kwa bei isiyozidi 150,000(laki moja na nusu)!

    Wakuu ni smatifoni gani nzuri ambayo naweza kuipata dukani kwa bei isiyozidi laki moja na nusu...
  13. Iyegu

    David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

    David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza. Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
  14. Iyegu

    Nimeshinda iPhone X kwenye Google Mail....

    Post Deleted By Author
  15. Iyegu

    Top 3 ya wachezaji wa mpira wa miguu!

    Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani. Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao.... Baada ya kupita huku na...
  16. Iyegu

    Ni jinsi gani naweza kuweka Blog Freebasics?

    Wakuu..nataka kuweka blog yangu Freebasics... Ni njia gani zinatumika kuweka blog freebasics?
  17. Iyegu

    Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

    Ikitokea wewe ni kocha na umebakiwa na nafasi moja ya 'sub' na nje wapo Paul Pogba na Kevin De Bruyne.... Nani utampa nafasi ya kuingia na kwanini?
  18. Iyegu

    Wazimbabwe walipa kiingilio kumuona Rais wao Emmerson Mnangagwa

    "Raia wa Zimbabwe wametakiwa kulipia ili kumuona Rais wao Mnangagwa aliyekuwa katika hoteli moja katika mji wa Windhoek nchini Namibia. Hii habari nimesoma BBC Swahili. Yale matusi ya Trump yanahalalishwa na mambo kama haya.... ===== Raia wa Zimbabwe wanaoishi kwenye mji mkuu wa Namibia...
  19. Iyegu

    Ni Samatta au nimsubiri mwingine?

    Kuna raha yake kumuona mchezaji wa nchini akacheza mpira huko LaLiga,Bundesliga au pale kwa Malkia. Unamuona mtu wa Kondoa,Kyela au Mbagala akicheza timu moja na Messi au yupo pale kwa Mourinho na Pogba,ana furaha gani mkenya anayemuona Olunga anafunga hat-trick LaLiga?... Wakati Mbwana Samatta...
  20. Iyegu

    Aisee.....wahaya wanaonewa....

    Mchaga hata apate kazi bank, ukimuuliza atasema yupo kibaruani. Acha sasa Mhaya apate kazi katika mashine ya kusaga na kukoboa utasikia "I work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company" sijamtaja mtu..!
Back
Top Bottom