Search results

  1. gwankos

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Unaota mchana mchana wewe...taifa stars haifiki popote
  2. gwankos

    EATV Sio Kwa Ushilawadu Huu!

    Hahaahaha chama kinakagua miradi....afu miradi yenyewe haifanani na pesa iliyotumiwa.....hii ndo tz ya viwanda
  3. gwankos

    ITV hii ni aibu, nunueni camera zenye kutoa video zenye ubora kwenye live

    Pc yako ina technology gani upande wa grph toa kwanza specifications za hiyo pc
  4. gwankos

    Mjane: Kwa miaka 64 mume wangu alinificha kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Aikuwa na nidhamu(kifua).Apumzike kwa amani, shujaa kwa kazi aliyofanya kwa ajili ya taifa lake.
  5. gwankos

    Leo nitafurahi na kushukuru nikielimishwa vizuri kabisa juu ya hili

    Paka na panya hawapatani hata kidogo.
  6. gwankos

    Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Ukimaliza kuwaza kwa sauti pia uwaze kimya kimya
  7. gwankos

    Kwa wasaidizi wa Rais na hasa ile Idara yake ‘Nyeti ‘kwa Siku za baadae lizingatieni sana hili ili lisijirudie

    Kama wana akili wata uchukua lkn kama ni mazwazwa na watu wa kufuata mihemuko hasi ndo watapotezea.
  8. gwankos

    Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

    Inaonekana kuna makubaliano yalifanyika na kati ya mjinga flani na mh raisi ....sasa ushirika wao ndio taabu kwa Mh Raisi kutumbua jipu hilo......akichelewa zaidi atajikuta ...ni sawa ya yule mtu alie kula maharage akavimbewe sasa anatia kidole chake kwenye mkundu na kunusa kama kinanuka
  9. gwankos

    Coded

    Ni muha wa kakonko
  10. gwankos

    Coded

    Code ngumu sana
  11. gwankos

    Hivi huyu jamaa yetu mpiga picha sio kipepeo mweusi kweli?

    Unajaribu ku crack code za kipepeo mweusi tafadhari ukumbuke kutumia binary 0 and 1......photographer makini sana...huyo kama lemutuz tu mr misifa michuzi
  12. gwankos

    Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

    Nasikia miaka hiyo jamaa kabila alikuwa mkimya sana alipokuwa jkt kwa mjibu wa sheria pia alikuwa anapotea campkwa mda flani
  13. gwankos

    Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

    Hahahaha vipepeo weusi na DAB
  14. gwankos

    Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

    Ki ukweli ujasusi wa uchumi wamekwama sana....tatizo wanafanya kazi kwa mazoea(mambo ya kizamani) pia badala ya kufanya kazi kwa maslahi ya Taifa wanafanya kwa ajili ya chama cha mapinduzi kwa kumsikiliza boss wao ambaye ndio mwenyekiti wa chama.
  15. gwankos

    Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

    Sawa mzalendo....kwa kuendelea kulipa kodi ...ngoja tuongeze ndege nyingine
Back
Top Bottom