Search results

  1. Mlima simba

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Na hili kabuli limefufuka hahahaha 😂 🤣 😂 🤣
  2. Mlima simba

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Jamani mbona mapema Sana? Tumgesubiri Mpira uishe haha 😂 😂 😂 😂 😂 nilisema game iliyopita tarehe 20 tutarudi hapa yametimia
  3. Mlima simba

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Nilisema kwenye ule Uzi, yametimia.
  4. Mlima simba

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kila la kheri timu yangu ya wananchi
  5. Mlima simba

    Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Yes naunga mkono Hoja, Sisi Yanga tusijiamini Sana kiasi kwamba tukaona tumeshinda hii mechi ya tarehe 20.04.2024. Yatupasa kuwa na tahadhari kubwa Sana tukishindwa kuwafunga makolo basi hata sare Inatosha kwetu . Kiukweli hii game ijayo Nina wasi wasi moyoni kwangu ,ila all in all kila la...
  6. Mlima simba

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 hatimae, bado tarehe 20.04.2024 huu Uzi utaibuka tena time will tell.
  7. Mlima simba

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Sasa niende nikaweke kumbukumbu ya comments kwenye uzi wa kihasibu na Muhasibu wetu wa Jamii Forum.
  8. Mlima simba

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Wamesikia hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 itakuwa kweli kolo , wamebadili
  9. Mlima simba

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Hivi waliopo zamu Leo hapa Jamii Forum ni Nani? Mbona live score inasema moja wakati Tatu bila?
  10. Mlima simba

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Mungu ni wetu sote , tukutane game ya pili wananchi tukiwa kamili.
  11. Mlima simba

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Kila la kheri wananchi, Mungu awe pamoja nasi.
  12. Mlima simba

    Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Nimesoma mpaka mwisho, safari hii Muhasibu umeandika kwa angalizo kubwa sana. Hakuna hata sentensi moja humu umeitaja YANGA, ulichofanya ni kuisifia Mamelod ,lakini ukiunganisha doti NI kama unasema YANGA hawezi kufunga Mamelod Kutokana na ubora wa Mamelod na uwekezaji wake. Time will tell...
  13. Mlima simba

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Lolote Baya liwakute msimbazi ameen.
  14. Mlima simba

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Muda ni mwalimu Mzuri Sana, hatimae kaburi linaendelea kufufuliwa kila baada ya mechi ya Yanga
Back
Top Bottom