Search results

  1. Gideone

    Siku hizi kupata mwenza mtumishi imekuwa kazi sana. Hii hupelekea maisha kuwa magumu sana

    Mimi mwanamke ambae hawezi hata ku handle minor issues za Home kama Vitu kama Luku, Sijui kuwatoa watoto vacation huyu hanifai kabisa, Natambua jukumu la ku raise familia ni letu sote wanafamilia ila mimi Baba nikiwa ni Key player kwenye major issues biashara ya kuambiwa Chumvi hakuna sijui...
  2. Gideone

    Sitarudia kutumia usafiri wa meli

    Wajuba dah kweli tuko tofauti sana sijawahi kuwa na Hofu kabisa na Maji kwa ujumla japo sio mzoefu wa kusafiri Majini ila sioni hatari kufanya ivo na wala sina shaka yoyote niwapo chomboni kwangu usafiri wa Maji naona ni safest zaidi
  3. Gideone

    Mrejesho kuhusu Kuomba hifadhi ya siku tatu Mtwara

    Alikuwa informed before na aka agree mkuu kwasababu alikuwa na enough space.
  4. Gideone

    Mrejesho kuhusu Kuomba hifadhi ya siku tatu Mtwara

    Kaka siku ukipatwa na la kupatwa haswa ugenini na watu wakupite tu as if hawakujui ndio utajua kuwa msaada unatolewa kwa unaemjua tu au lah, Iko ivi kama mtu ame show proof zote kuwa yeye sio stranger shida iko wapi kumhost tu? Natamani kujua hata unaishi vipi na majirani zako
  5. Gideone

    Mrejesho kuhusu Kuomba hifadhi ya siku tatu Mtwara

    Mkuu Nilimtarifu Kuwa ntakuwa na friends na alikubaliana na ilo siwezi kufanya uswahili wa ivo
  6. Gideone

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Mkuu nashukuru kwa hili wazo lako pia lakini nimeshapata mwenyeji wangu humu ivo Ntafikia kwake hakuna shida.
  7. Gideone

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Nashukuru sana mkuu na Nimeshawasiliana nae mchana ivo mambo yako sawa undugu kufaana na sio kufanana
  8. Gideone

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Wakuu Uzi ufungwe sasa nimeshapata msaada kutoka kwa ndugu yangu Dr Mayala
  9. Gideone

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Pengine hujawahi kupitia changamoto mkuu
  10. Gideone

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Mi niko na stanbic wako vyema sana simply hizi international banks wako poa sana kuhusu online transaction, Wote hata absa wako good mfano stanbic huhitaji kujaza fomu kuiruhusu kadi ifanye purchases online
  11. Gideone

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    International banks are the best banks for internet banking
  12. Gideone

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Affordability mkuu ila ikiwa cheaper i would have no option
  13. Gideone

    Kwanini Marais wengi na viongozi wakuu wa nchi na wake zao wanaishi mda mrefu?

    Marekani ina Ma Rais watano wastaafu ambao wako Hai Jimmy carter, Bush Senior, Bill Clinton, Bush Jr na Baraka obama, Bush Sr ndio kamzika Mkewe juzi tu yupo 90+ na Jimmy pia yupo 90+
  14. Gideone

    NIDA Arusha ni jipu

    Nida sio huko tu, ni kama hawajajipanga tu nchi nzima wapo tu ilimradi siku zinasogea
  15. Gideone

    Tupia broken english yako hapa

    I tried but where-- Nilijaribu lakini Wapi
Back
Top Bottom