Search results

  1. Entrepreneur

    Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    Maandamano ni moja wapo kati ya haki za msingi za raia, kuyakataza bila sababu ya msingi, au kwa sababu yameandiliwa na vyama shindani si sahihi. Ndio maana sasa raia wanataka serikali itakayowajibika kwa wananchi na si wananchi kwa serikali
  2. Entrepreneur

    Marufuku. NEC yasema hairuhusiwi kulinda kura mita 200, kuvaa sare

    Kwani sheria inasemaje?? Watu wameshajifunza na wanakumbukumbu ya mambo mliyoyafanya Mwaka 2010 kwenye majimbo mliyoshindwa!! Rejea yaliyotokea Ubungo, Arusha Mjini, Mbeya, Ilemela, Nyamagana n.k. Mwaka huu wananchi wameamka na vyama vimejipanga. Hata ule mpango wa Chadema FTP200 kwa kila kata...
  3. Entrepreneur

    Lowassa afuatwa na wezi wenzie

    Kama mnaushahidi wa wizi wao, mbona bado wako mtaani!! Kwa nini hamuwapeleki mahakamani wakati serikali mnaongoza ninyi??
  4. Entrepreneur

    Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Magufuli alisema tumhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, ili tuone kama hafai kumpa nchi. Sasa huu ni mrejesho mfupi wa yale tuliyoyaona huko; kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo. Mitaa mingi ya mjini imeweka...
  5. Entrepreneur

    Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Magufuli alisema tumuhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, il tuone kama hafai kumpa nchi Sasa huu mrejesho mfupi wa tuliyoyaona huko, kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo. Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na...
  6. Entrepreneur

    Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Sasa kama mtu amekuwa mbunge kwa miaka ishirini na ameshindwa kutoa maji yaliyopo umbali wa mita kama 100 kutoka mjini, lakini leo anatuahidi kupeleka maji vijijini, (Tanzania nzima kwa miaka mitano). TUTAMWAMINI vipi???? Ndio hivyo tena HATUNA NAMNA NYINGINE
  7. Entrepreneur

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ukiona Taifa limefika mahali viongozi na wanasiasa wanategemea umaarufu wa wasanii ili kujiuza wakubalike basi ujue tumefika kwenye nyakati mbaya sana
  8. Entrepreneur

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Ninaheshimu mawazo yako mkuu, lakini ni vyema ukamuone mwalimu wako ili kujiongezea ufahamu wa namna Serikali inavyofanya kazi, hususani kwenye majukumu, wajibu na mamlaka ya Waziri Mkuu. Hata hivyo Sumaye hajasema ameleta mabadiliko. Yeye amekuja kuongeza nguvu
  9. Entrepreneur

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Na bado. Yaan viwanda waviuwe wenyewe halafu leo wanataka tuwape credit kwa ahadi zao! Kweli tutasikia mengi kipindi hiki
  10. Entrepreneur

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Unadhani ni rahisi kufanya hayo mabadiliko wakiwa ndani ya mfumo uliopo. Amekwambia yeye alitaka kufuta nafasi za wakuu wa wilaya kwani hawana maana lakini system ilimzuia
  11. Entrepreneur

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Moto wa mabua, SASA UMEKUWA MOTO WA GESI
  12. Entrepreneur

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hebu tujulishe mwenye impact ni nani?
  13. Entrepreneur

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Kwa habari zaidi katika picha bonyeza HAPA
  14. Entrepreneur

    UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    Gharama za ujenzi wa Bomba la Gesi zimeongezeka kwa zaidi ya tshs 210 bilioni!
  15. Entrepreneur

    UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    Ule wakati tuliokuwa tunausubiri ndio huu umewadia. Tusijerudia makosa ya kuwakabidhi fisi watulindie banda letu la mbuzi tena. Hatutakuwa na wa kumlaumu tukikuta mbuzi wameisha #PigaKuraAuPigika
  16. Entrepreneur

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Sasa CCM imedhihirisha namna wasivyo na mastrategist tena!! Mtaitisha press conference ngapi? Mngesubiri kidogo mafuriko yatulie ndio muitishe press, sio sasa.
  17. Entrepreneur

    Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Juzi tu walivyokuja Mwanza kwenye mapokezi ya Lembeli na Bulaya, mlisema kwa nini wako pamoja? Jana wanaendelea na majukumu yao mengine mnasema kwa nini hawapo pamoja!!! Kweli ubinadamu kazi
  18. Entrepreneur

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ninafaraja sana moyoni kuiona siku hii. Washindwe au washinde ninaimani aina ya siasa za nchi yetu zitabadilika kabisa. Lakini niseme tu kwamba faraja yangu haijakamilika kabisa kwa sababu ya Ukosefu wa Zitto Kabwe kwenye huu ushirikiano
Back
Top Bottom