Search results

  1. DR HAYA LAND

    Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  2. DR HAYA LAND

    This is what we have been through in our life 's journey

    We used to use umbrellas to face the bad weather So now we travel first class to change the forecast
  3. DR HAYA LAND

    Binadamu unapozaliwa na kuja duniani wewe tayari ni majibu na sio maswali

    Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua hebu elewa maana ya maisha kwanza. Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani. Wewe ni majibu na sio maswali. Dunia huwa inatupa maswali na sisi...
  4. DR HAYA LAND

    Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

    Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa. Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea. Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
  5. DR HAYA LAND

    Vijana wanakosa connection kwa kuomba omba hela.

    Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela ,hii inaua connection kwa haraka Sana. Haya mambo sita unabidi kuyazingatia kijana @ Kuhakikisha unakuwa Giver na sio taker. @ Self improvement -jifunze namna ya...
  6. DR HAYA LAND

    Utofauti kati ya Wivu na Chuki

    WIVU - ni kutamani walichonacho wenzio. CHUKI - chuki nikutamani walichonacho wenzio na kutaka wao wasipate Ila upate wewe. MTU mwenye wivu anasumbuliwa na tatizo la scarcity mindset. Ila MTU mwenye chuki anasumbuliwa na Poor self-worth Hivyo MTU mwenye chuki ni hatari Sana kuliko hata MTU...
  7. DR HAYA LAND

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  8. DR HAYA LAND

    Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
  9. DR HAYA LAND

    Hakuna MTU mfupi ila tatizo ni lishe.

    Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha.
  10. DR HAYA LAND

    Vijana msipoacha roho mbaya hamateweza kutoboa ,mtajitafuta hadi kwenye nyota

    Siri ya mafanikio ni kuwa positive na kuwa work smart na kufurahia pale wenzio wanapofanikiwa.
  11. DR HAYA LAND

    Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

    Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa. Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya . Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako. Elewa...
  12. DR HAYA LAND

    Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  13. DR HAYA LAND

    Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  14. DR HAYA LAND

    Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  15. DR HAYA LAND

    2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  16. DR HAYA LAND

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .? If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
  17. DR HAYA LAND

    Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  18. DR HAYA LAND

    Naomba nieleweke hivi kuwa uzuri huwa unajiunda na kuleta mwonekano kutoka ndani yake

    Naomba nieleweke hii inaweza isieleweke Ila ndivyo ilivyo, hali yako ya uzuri huwa inajiumba taratibu kutokana ndani yako. Hivyo ikiwa unayoyapitia ndani yako yatakuwa magumu na yanakunyima furaha hadi kujichukia hivyo ule uzuri wako wa Asili utapotea. Hoja hii naithibitisha Kwa kutazama...
  19. DR HAYA LAND

    Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  20. DR HAYA LAND

    Inakuaje mwanamke unamtogoza anakukataa ila akijua una mwanamke mwingine mzuri anarudi kukuomba samahani?

    Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye. Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU...
Back
Top Bottom