Search results

  1. Kichaa Msafi

    Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037]) Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili. Golola Moses ni bondia mkubwa...
  2. Kichaa Msafi

    Kuhusu Dawa za nguvu za kiume kufanya kazi

    Ndugu zangu, Muamini au msiamini mimi nilikuwa muhanga wa punyeto na kupungiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Lakini kuna thread mbili zilikuja humu moja ni kuhusu kitunguu maji, mkaa, mkate na Asali, nyingine ilikuwa ni kitunguu swaum kukata kata kama sles peke sita za kitunguu sahumu na...
  3. Kichaa Msafi

    TFF mrudisheni Marcio Maximo atupeleke kombe la dunia

    Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo, Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika Qatar, pia anajicho la kuchagua wachezaji na mhamasishaji pia, Ndayiragije kandarasi yake naamini...
  4. Kichaa Msafi

    Ni watu wa aina tatu tu ndio wasemao ukweli daima

    Nisiwachoshe wakuu kama mada isemavyo,kuna makundi matatu ya watu wasemao ukweli daima nayo ni; 1. Vichaa: hawa watu ukisikia wanakuambia kitu usikipuuze huwa hawana desturi ya kudanganya japo watu wengi tunawapuuza sana siku zote. 2.Walevi: Hawa nao wanaingia kwenye kundi hili pale wanapokuwa...
  5. Kichaa Msafi

    Sitaisahau siku hii ya Alhamisi

    Habari zenu waungwana, Hongereni kwa kazi na poleni kwa ukata tulionao. Nije kwenye mada, mwaka 2010 mwezi wa 12 tarehe 23 siku ya alhamis pale Dodoma nilipatwa na tukio moja lililoniacha kinywa wazi. ilikuwa hivi, nimetoka zangu chuo udom nikapita homu makole ndo nilikopanga, nikaweka baadhi...
  6. Kichaa Msafi

    Nakupenda lakini umechelewa

    Nisiwachoshe wakuu, Ipo hivi wakati naishi hapo Dar kabla sijaja huku kwa madiba kutafuta maisha nilikuwa na mpenzi, na tulipendana sana na tulikuwa na mipango mingi sana ya kuja kuishi pamoja na kuanzisha familia, na hata baada ya kuondoka hapo mawasiliano yalikuwepo tena sana ilikuwa haipiti...
Back
Top Bottom