Search results

  1. Mstafeli

    Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

    4.Been there done that!
  2. Mstafeli

    JF ni mtandao wa Dar es salaam, wamikoani facebook inawahusu

    Kwani Maxmello mwenyewe anasemaje?
  3. Mstafeli

    Simba Day imefutwa?

    Ingekuwa haina engine ingekuwa ni ishu, Matairi si hata mziba pancha anabadilisha tu mkuu?
  4. Mstafeli

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Kuna ile video ya mitandaoni walimpa mashine sokwe kabisa, si akawabadilikia na kuanza kuzipiga walipo? walitoka nduki
  5. Mstafeli

    Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

    Jibu ni kwamba Chidi anasimamia ukweli
  6. Mstafeli

    Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

    Je Kama magari anayo mengi, atakuona umempatia cha maana?
  7. Mstafeli

    Toa caption inayoendana na picha hii

    "Sasa hivi hapa mambo saaafi, mi si nilikwambiaga subira haivuti bangi"
  8. Mstafeli

    Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Haya yanayoendelea ni Mungu tu ameamua hii dhuluma isipate nafasi, mbaya zaidi zinakuja kesi juu yake kutokana na makosa yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika. Msishangae akimalizia maisha yake gerezani au kwenye hali ya kudhalilika zaidi. Kumbe ndiyo maana wahenga walisema heri ukose mali...
  9. Mstafeli

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nipeni Likes za kutosha
  10. Mstafeli

    Visit Tanzania ya Simba na mtazamo wa Kigwangalah

    Nipo kitambo mkuu sijui kwanini hii imenipita
  11. Mstafeli

    Visit Tanzania ya Simba na mtazamo wa Kigwangalah

    Jina la Nassoro limetoka wapi tena?
  12. Mstafeli

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kama Mungu aliruhusu hata Yesu afe, ingekuwaje kwa Jiwe? Mungu ana makusudi yake na haingiliwi
  13. Mstafeli

    Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

    Mkuu umeongea kama ninavyowaza mimi, hataki hata kumsikiliza, mbona kuna watu wengi tu wa aina hii na zipo njia za kuweza kumsikiliza mpaka mwisho na ukaelewa? Mara ngapi tunamuona rais anasikiliza watu wa hivi mpaka anaelewa? Naanza kuamini waziri amehusika kwenye hili sababu kama Lowasa alitoa...
  14. Mstafeli

    Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Unatakiwa ujue ya kwamba maendeleo yana hatua zake, kwa maelezo yako wewe unahisi maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa juu juu tu,hujaangalia kama nchi hii ni kubwa na tulikua mbali mno. Mfano unaongelea miji ambayo ilishajengwa miaka mingi sana halafu unalinganisha na kwetu ambako kumeanza...
  15. Mstafeli

    No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

    Jamani naomba link ya live streaming kwa game ya leo
Back
Top Bottom