Search results

  1. Vaislay

    Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Mbamba bay to kyela?? Tangu lini?
  2. Vaislay

    Hivi ni kwanini Wanawake hamjui kukataliwa?

    Unaanzaje na unawezaje kumkataa sasa? Si tumeumbwa kwa ajili yenu? Kwaio unakataa maagizo ya Aliyetuumba?? Umepata wapi huo ujasiri??
  3. Vaislay

    Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

    Hawa watu ni shida sana, wanatakiwa kujirekebisha maana wameshaweka uadui kati yao na watu wanaomiliki vitu vya moto
  4. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Haimaniishi uende tu kwenye ndoa bila kujiridhisha et tu kisa usipoolewa watasema
  5. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Mi naamini akili inategemea na mtu maana unaweza kukuta mtu ana30 kichwani hamna kitu, je asubiri mpaka akili ikomae na 45 yrs?
  6. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Na wengine wanapenda kamseleleko, wakiona binti familia inajiweza. Point sio ajira tu, swala je uko tayari au utaamudu maisha ya ndoa? Maanaa ndo sio shereh tu
  7. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Sheria ya ndoa inasema mtu anaolewa na miaka mingapi?
  8. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Huwezi kuficha tabia kwa sikuzote ipo siku katika tabia mbaya kumi nne utaziona tu, shida watu wanaweka upofu kuona kwa kufunikwa na so called love
  9. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Mkuu ukiwa na ndugu anayekutana na changamoto hiyo nadhani inakuwa rahisi kuelewa kuliko simulizi...natumai unandugu pia
  10. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Ila kwa kizazi hiki cha sasa, kwa mwarobaini huo ni familia chache tutapata watoto wazuri,
  11. Vaislay

    Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
  12. Vaislay

    Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Hili jambo linapande mbili, Mapenzi na urafiki baina ya mtu na mtu, Kwenye mapenzi mmoja akizingua aende salama "amalize mwendo salama" Hata mimi sijali Lakini kama ni rafiki, nafikiri unahitaji muda zaidi wa kujua kwanini yanatokea hayo, sisi ni binadamu tunabadilika muda wowote si dhambi...
  13. Vaislay

    Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Pambana baba kupunguza dharau ndani ya nyumba
  14. Vaislay

    Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Tumeumbiwa kusamehe sio kusahau
  15. Vaislay

    Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    Daaa huu uzi umenigusa mmnoooo, Nilikuwa na rafiki pia, alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu, Alikuwa na mwanamke ambaye sahizi ni mke wake, nilimpenda yule dada kwaajili ni demu wa rafiki yangu, alipooa nadhani ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza kuchangia hela nyingi. Alipoolewa tu yule dada jamani...
  16. Vaislay

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Umeamini wanawake tuna nafasi kubwa, haya ujuaji wako umefikia wapi sasa? Pambana bro....ila ujue sisi ni kila kitu kwenu
  17. Vaislay

    Nimevunja mahusiano hivi punde

    Pambana na maumivu ndani ya mwezi mmoja tu utamsahau, ila kama unapenda vizawadi zawadi utamtafuta mwenyewe mana amekamata udhaifu wako
  18. Vaislay

    Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

    Dada umechafukwa!! Hii mitandao hata sio ya kuichukulia serious, wengi tunapita kupoteza muda tu na kuangalia kuna mapya gani duniani.. Muhimu ukiona mtongozo na wewe huutaki kaa zako kimyaaaa endelea kuperuz kwa raha zako. Lakini ukisema kila jambo ulibebe humu, utaumwaa kila mtu na akili...
Back
Top Bottom