Search results

  1. K

    Maandamano ya chadema yavunjwa na polisi shinyanga

    Maandamano ya wanachadema yaliyokuwa yaanzie eneo la ibinzamata had uwanja wa shy com yamezuiliwa na manjagu huku wa2 wakiwa wameshajipanga tayar kwa maandamano. Dr slaa ndiye mnenaji mkuu,wa2 wamejaa maeneo ya uwanjani tayar kusubir hotuba za ukomboz wa nchi
  2. K

    Mrithi wa ufalme Arumeru

    Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai karib na shule ya msingi. Alikutana na zaid ya makada 30 kutoka kata ya maji ya chai. Agenda ilikuwa ni...
  3. K

    Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!!

    Kum..moto ni jiji kubwa sana na maarufu huko Japan
  4. K

    Sabuni mpyaaa

    Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye choo cha shimo. Huku akioga akawa anaimba 'ogesha, ogeshaaaaaaaa, ogeshaaaa' mpaka mwili mzima ukawa...
  5. K

    Primary school!! Ilikuwa burudani kwangu

    mi nakumbuka ukiwa na nywele kubwa mwalimu anazikata kwa mkasi mbaya zaidi anaweka kipara au msalaba kichwani alafu anasema kesho uje umenyoa nywele zote. mi sitamsahau mwl ndekao huyu alikuwa mnoko mno kwa kuweka watu vipara na misalaba ktk shule ya Tuvaila huko Arusha
  6. K

    Mzungu na mkalimani wa kijiji

    Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. K

    Jionee mwenyewe

    Hahaaaaaaa sijui kama ni kweli
  8. K

    Tanesko na kibatari

    Basi leo usiku umeme wamekata. Muda wa kula hakuna taa, ikabidi tutumie kibatari. Sister akawa ameshika kibatari kama vile anakibusu wakati tunasali(kubariki chakula) kumbe amevaa kofia bwana. Katikati ya sala dogo akapiga makelele 'dada unaunguaaaaa kofia aaa.watu wote tukafumbua macho kwa...
  9. K

    Kumbe mtoto ana ndevu

    Dogo akamuuliza mama yake mjamzito, 'eti mama mbona tumbo lako kubwa sana'? Mama akajibu 'nina mtoto tumboni'. Dogo hakuelewa, siku moja mama anasonga ugali akawa amekaa vibaya. Dogo akaona ishu ya maza, mara dogo akalipuka kwa furaha huku akishangilia na akasema, 'nimegundua mtoto uliyenaye...
  10. K

    Nimebakwa

    Jamaa anatoa ushahidi polisi. Jamaa; akaja akaanza kunivua suruali kwa nguvu mi nikamwangalia tu. Akavua kamptula yake akachomoa nanilihu akaanza kunifi** Polisi: Alikuwa na silaha yoyote wakati anakufanyia hayo yote? Jamaa: hapana hakuwa na...
  11. K

    Hodi

    Mie mgeni naombeni uenyeji kwenye hili jamvi. Ahsanteni
Back
Top Bottom