Search results

  1. K

    Kati ya Toyota vanguard, Toyota harriers na Toyota kluger ni ipi nzuri?

    Wadau habari za kazi Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana? Natanguliza shukrani.
  2. K

    Happy new year

    Nawatakia mwaka mpya wenye fanaka na baraka tele.
  3. K

    Kujenga eneo la wamachinga kwenye hifadhi ya barabara kuu.

    Kujenga eneo la wamachinga kwenye sehemu ambayo ni hifadhi ya barabara,ili kuwaondoa katikati ya mji je huku ni kuwasaidia au ndiyo kufukia shimo kwa kuchimba shimo?
  4. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu matumizi ya matofali ya ukubwa tofauti kwenye ujenzi

    Habari ya asbuhi wana jukwaa na wadau wote. Naomba tuelimishane kuhusu tofali za ujenzi za cement manake hua naona kuna tofali za urefu, upana na unene tofauti tunapokua tunajenga nyumba zetu ziwe ni za makazi, biashara au makazi na biashara:- 1. Kuna tofali za nchi sita hizi wajenzi wengi...
  5. K

    Naomba kujua, Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani?

    EID MUBARAK. Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani? Je watajwa hapo juu wana ofisi au maduka yao hapa Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Wanaotafuna vitunguu swaumu kila siku tukutane hapa

    Husikeni na mada hapo juu. Naomba tubadilishane juu ya namna bora ya kutumia kitunguu swaumu kama dawa au kinga na mambo unayoyaona baada kukitumia. Mimi huwa natafuna kitunguu swaumu wakati wa kula chakula au hutafuna kwa kuichanganya vitafunwa kama karanga na korosho hii ni baada ya...
  7. K

    Kujenga pole pole na kwa muda mrefu; tusaidiane maarifa

    Ndugu wanajamvi habari za mda. Niende moja kwa moja kwenye ombi kwenye ujenzi wa nyumba bora za kuishi kwa watu wa kipato cha chini na kati kuna changamoto ambazo humlazimisha mhusika kujenga nyumba yake kidogo kidogo na huchukua mda mrefu kumaliza. Ombi langu kwenu ni kuomba wale wenye udhoefu...
  8. K

    Car Vacuum cleaners

    Wadau habari za jumapili. Naomba kujua mahala ambapo naweza pata car vacuum cleaners kwa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Nahitaji Viatu na mikanda ya ngozi ya mtumba

    Waungwana salam zenu kutoka kwangu. Naomba kufahamishwa sehemu naweza pata viatu na mikanda ya ngozi ya mtumba nikiwa Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Nahitaji viatu vya ngozi vya mtumba

    Naomba anayejua sehemu nawezapata viatu bora vya ngozi vya mitumba nikiwa Dar es Salaam anijulishe. Si kwajili ya bishara. Natanguliza shukrani.
  11. K

    Bei ya container la 20 feet.

    Wadau habari za mihangaiko. Naomba kujuzwa bei ya container tupu la futi 20 kwa Dodoma mjini. Natanguliza shukrani.
  12. K

    Mafundi Rangi za Nyumba.

    Kuna ubaya gani ukipaka nyumba rangi bila ya kufanya skimming?
  13. K

    Msaada: Mwanamke kupata maumivu baada kujamiana mbegu za kiume zinapomuingia.

    Nikifanya mapenzi na mwanamke ananilalamikia kupata maumivu ya tumbo la uzazi baada ya manii yangu kumuingia Je nina tatizo gani kwenye manii yangu tiba yake ni nini? Naomba msaada manake naona ntakimbiwa.
Back
Top Bottom